Am For Real
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 337
- 817
Duh!! imefikia hatua mchele haulimwi tena. unazaliwaJamaa yangu alikuja kwangu akilalamika na kuniambia “Unamkumbuka Jessy yule mwanamke niliyekuambia,aisee ni mwanamke wa ajabu Sana Kati ya wanawake wote niliowahi date nao yeye ni WA tofauti sana”
Nikamuuliza WA tofauti ana nini Cha tofauti??Akaanza kusema “Kati ya wanawake wote niliowahi kutana nao kwenye SITA Kwa SITA huyo nashangaa muda wa mzagamuano hatokwi na vimchele chele vyeupe atakuwa wa ajabu”
Nilichokuja kugundua jamaa kakutana na Wanawake wengi ambao hawajisafishi vizuri maeneo husika kiasi kwamba ameona ni hali ya kawaida.
Nipende tu kusema wanawake wajitahidi kujisafisha.
Dr. Vipi kuhusu kutumia lactomate feminine wash?🙂Hao ni ama hawajisafishi ama wanajisafisha kupitiliza. Zaidi, wana maradhi.
Kule hapahitaji kutakata. Wala hapahitaji manukato. Wala sabuni. Wengine bila elimu, kwa kudhani wanajisafisha kumbe wanaharibu.
ata UTI ilokomaa inatafuna ndani ad inatoka nje sasaEti mchele.
Hivi ile huwa ni fungus.
Imekuwaje?Ramadhan yote hii
Haya wewe mwenyeji wa nyapu tueleze vile vitu kama maziwa huwa ni nini?Wewe jamaa ni mgeni wa nyapu na ni lijinga mno na inaonekana upo kwenye barehe wewe sio bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanawake wengi wameoza aiseeJamaa yangu alikuja kwangu akilalamika na kuniambia “Unamkumbuka Jessy yule mwanamke niliyekuambia,aisee ni mwanamke wa ajabu Sana Kati ya wanawake wote niliowahi date nao yeye ni WA tofauti sana”
Nikamuuliza WA tofauti ana nini Cha tofauti??Akaanza kusema “Kati ya wanawake wote niliowahi kutana nao kwenye SITA Kwa SITA huyo nashangaa muda wa mzagamuano hatokwi na vimchele chele vyeupe atakuwa wa ajabu”
Nilichokuja kugundua jamaa kakutana na Wanawake wengi ambao hawajisafishi vizuri maeneo husika kiasi kwamba ameona ni hali ya kawaida.
Nipende tu kusema wanawake wajitahidi kujisafisha.
Mna mchele sasa wanaume tupunguze pesa za matumizi awa wana micheleMichele tena, ebu mtuache bana😃