Kwahyo mkuu unashauri watu waviachie vitambi. Ila kuna pisi zinavitambi ila vimewakaa njema sana alafu akipigilia na jeance juu t-shirt na unyama kama jordani chini alooo unahisi umekutana na .5 flani hivi wa mchongo
Mwanamke mwenye kitambi havutii. Utakuta mwenye kitambi anavaa ile michupi sijui ni taiti inayofika hadi tumboni sijui mnaiitaje kukibana kitambi kisimwagike nachekaga kweli
Mi navikubali sana vitambi ivo wanakuwa wamoto down na utelezi wala wala๐๐๐!!
Nimemlisha wife ila kitambi hakitokei, sasa ni vile tu sijapata mchepuko mwenye hako kamradi