Wadada Wazuri hawajui kuvaa Vizuri

Wadada Wazuri hawajui kuvaa Vizuri

Stanboy

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
1,115
Reaction score
1,320
Wasalaam,
Katika pita pita zangu nimejiridhisha kuwa wadada wazuri hawajui kuvaa vizuri ukilinganisha na vidada vibaya..yaani unakuta mdada mzuri kweli kweli lakini yuko hovyo kimavazi,mchafu n.k ila sasa ukutane na kidada cha hovyo yaani kinatupia mpaka unakiogopa..

Hapo tuelewane kwamba kuna tofauti ya mdada mzuri na mrembo..hapa nimezungumiza wadada wazuri siyo warembo..

Nawasilisha
 
Kuvaa vizuri kwa macho yako unakutafsiri vipi?! Kwangu mtu akivaa simple, kiasi kwamba nikifanya mahesabu ya vitu alivyotupia havifiki hata elfu 10, kwangu atakuwa amevaa vizuri provided vimemtoa na kumfanya awe comfortable!

Ukiwa na makalio makubwa halafu ukanivalia jinzi ya kubana kwangu hujavaa vizuri na utanikwaza kweli kweli wakati kwa mwingine, huyu atakuwa amevaa vizuri ile mbaya!

Ukiwa kimbau mbau na miguu kama cherewa halafu ukanivalia kimini; wakati wa kuondoka tukifika mbele nitakuambia "tangulia nitakukuta njiani" lakini kama umenipigia trouser simple; kwangu utakuwa umevaa vizuri!!!

Sasa wewe huko kuvaa vizuri unakutafsiri vipi ambako kwa bahati mbaya kabisa, kuvaa kuzuri kwako hakuwezi kuwa kuzuri kwa wengine!!!!
 
Wasalaam,
Katika pita pita zangu nimejiridhisha kuwa wadada wazuri hawajui kuvaa vizuri ukilinganisha na vidada vibaya..yaani unakuta mdada mzuri kweli kweli lakini yuko hovyo kimavazi,mchafu n.k ila sasa ukutane na kidada cha hovyo yaani kinatupia mpaka unakiogopa..

Hapo tuelewane kwamba kuna tofauti ya mdada mzuri na mrembo..hapa nimezungumiza wadada wazuri siyo warembo..

Nawasilisha
mapungufu ni mtaji (anapojijua ndo mtabanana sasa hakuna kupitwa hiyoo)
 
Back
Top Bottom