Nguvu za kiume huwa zinarudi zenyewe tu acheni kutapeliwa

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
593
2,037
Nguvu za kiume ni sawa na kidonda tu au ngozi iliyochanika kuwa inajifunga yenyewe yaani hilo tatizo linaweza kuisha pasipo kutumia dawa ila ujue tu limesababishwa na nanini

Kama ni mfumo mbovu wa kula basi nakushauri tafuta kiwanja kizuri kila jioni anza kufanya mazoezi ya kulimbia kisha ingia youtube kuna zoezi la kgl exercise lile zoezi liko poa sana ndani ya mda mfupi utayaona matokeo mazuri

Kula mlo mzuri hasa nyama za baharini kama samaki na pweza kila siku, samaki wana matokeo mazuri sana kuufanya uume usimame na kupata hisia haswaa, pia mlo wako penda kula pili pili na Tangawizi,kila siku , pili pili na Tangawizi zina madini ambayo huchochea hisia na kufanya uume usimame vyema na kusimamia tendo kwa mda mrefu

Kisha hakikisha uwe kwenye mahusiano na mwanamke ambaye anakupeda na analielewa tatizo lako huyo atakupa ushirikiano kurudi kwenye hali yako

Ukiwa na mwanamke mwenye mdomo mchafu, usitegemee kusimamisha unaweza ukawa umepona ila uwoga ukakufanya uogope kusemwa mwisho ukajihisi bado una tatizo kumbe ni hofu

Kama tatzo lako linasababishwa na mlo mbovu basi achana na madawa fuata huo ushauri utakuja kunishukuru

==========

Nimewapa ushauri sababu lishawahi kunitokea nikagundua ni mfumo mbovu wa kula kupitiliza vyakula vya viwandani na vyenye mafuta sana, na kutokufanya mazoezi, nikapata ushauri nikaufanyia kazi, niliwahi kaa miaka 3 naogopa wanawake kabisa nikihofu kuchekwa maana unafikiria mwanaume ushavuliwa nguo alafu uume hausimami ni aibu hivyo mahusiano nikaachana nayo kwa uwoga

Nikaja kupata mwanamke amabae alinipenda sana na akaja akashtukia nna hilo tatizo ila akawa kimya hakuwa anatoa maneno machafu wala kunivunja moyo ila alionyesha upendo tu, nilivyopata huu ushauri nikawa nafanya mazoezi kila jioni pia nikawa nakula samaki kwa wingi hasa michemsho ya pweza na sato na samaki wengine, nikawa nakula pili pili na tangawizi kila siku, kwa sasa napiga show vizuri hadi bao 3 naenda vizuri mwanamke mwenyewe anasema basi
 
ROOM 47

JF-Expert Member
May 23, 2022
224
498
Mwanaume ushindwe kusima

Kama tatzo lako linasababishwa na mlo mbovu basi achana na madawa fuata huo ushauri utakuja kunishuku

Mwanaume ushindwe kusimamisha tango kisa unamuogopa mwanamke huo ni undezi au utakua umekulia ushuani dem unatongozewa na dada zako ila kwa sisi wa uswalini hilo swala halipo kabisa tupo kama majogoo pori hadi mbuzi tunapanda ..
 
alphonce.NET

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
1,424
4,334
Nguvu za kiume ni sawa na kidonda tu au ngozi iliyochanika kuwa inajifunga yenyewe yaani hilo tatizo linaweza kuisha pasipo kutumia dawa ila ujue tu limesababishwa na nanini

Kama ni mfumo mbovu wa kula basi nakushauri tafuta kiwanja kizuri kila jioni anza kufanya mazoezi ya kulimbia kisha ingia youtube kuna zoezi la kgl exercise lile zoezi liko poa sana ndani ya mda mfupi utayaona matokeo mazuri

Kula mlo mzuri hasa nyama za baharini kama samaki na pweza kila siku, samaki wana matokeo mazuri sana kuufanya uume usimame na kupata hisia haswaa, pia mlo wako penda kula pili pili na Tangawizi,kila siku , pili pili na Tangawizi zina madini ambayo huchochea hisia na kufanya uume usimame vyema na kusimamia tendo kwa mda mrefu

Kisha hakikisha uwe kwenye mahusiano na mwanamke ambaye anakupeda na analielewa tatizo lako huyo atakupa ushirikiano kurudi kwenye hali yako

Ukiwa na mwanamke mwenye mdomo mchafu, usitegemee kusimamisha unaweza ukawa umepona ila uwoga ukakufanya uogope kusemwa mwisho ukajihisi bado una tatizo kumbe ni hofu

Kama tatzo lako linasababishwa na mlo mbovu basi achana na madawa fuata huo ushauri utakuja kunishukuru

==========

Nimewapa ushauri sababu lishawahi kunitokea nikagundua ni mfumo mbovu wa kula kupitiliza vyakula vya viwandani na vyenye mafuta sana, na kutokufanya mazoezi, nikapata ushauri nikaufanyia kazi, niliwahi kaa miaka 3 naogopa wanawake kabisa nikihofu kuchekwa maana unafikiria mwanaume ushavuliwa nguo alafu uume hausimami ni aibu hivyo mahusiano nikaachana nayo kwa uwoga

Nikaja kupata mwanamke amabae alinipenda sana na akaja akashtukia nna hilo tatizo ila akawa kimya hakuwa anatoa maneno machafu wala kunivunja moyo ila alionyesha upendo tu, nilivyopata huu ushauri nikawa nafanya mazoezi kila jioni pia nikawa nakula samaki kwa wingi hasa michemsho ya pweza na sato na samaki wengine, nikawa nakula pili pili na tangawizi kila siku, kwa sasa napiga show vizuri hadi bao 3 naenda vizuri mwanamke mwenyewe anasema basi
Hapo kwenye "nyama za baharini" ndio kikwazo
 
Darmian

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
16,234
42,777
Nguvu za kiume ni psychological problem as long as unakula mlo kamili na kunywa maji ya kutosha na huna magonjwa kama ya kisukari..

Huwa nawashangaa wanaobugia mambo ya ajabu ajabu wakiambiwa eti ni nguvu za kiume..lakini maybe zina-act kama placebo ili kuwaleta tena kati mabaharia kuperform vizuri.
 
co fm

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,286
1,794
Jana kuna jamaa tulikuwa nae sehemu ya bata sinza hapo….alienda nunua malaya huko sijui vijumba gani,sasa kwenda kumla huyo malaya mashine eti ikataa kusimama mpaka anaondoka hapo mzigo hausimami…Mimi sikuamini hicho kitu ila kama ni ndumba Sawa ila ukimwona tu demu uchi mashine hiyo ishaamka sasa sijui ilikuwaje
 
Nangu Nyau

JF-Expert Member
Jul 1, 2022
1,110
3,363
hapo kwenye tangawizi, pilipili nk uko sahihi,
Ugali, samaki wakavu, na kachumbari yenye pilipili ni msaada, chakula chenye pilipili manga na tangawizi ni msaada pia.

Kifupi nguvu za kiume ni mzunguko wa damu mzuri kwenye mwili wako, ukiona unatatizo la nguvu za kiume tambua ni mzunguko mbovu wa damu.

Kurekebisha mzunguko wa damu, either ule vizuri, ufanye mazoezi, uwe huna stress. Ndio maana binafsi nikiwa nina hela na mzunguko wa damu unakuwa mzuri + zero stress.
 
whiteskunk

JF-Expert Member
Jul 24, 2021
2,625
5,663

Ni kweli ukiwa na pesa huna stress, nguvu zipo tu
 
Darmian

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
16,234
42,777
Jana kuna jamaa tulikuwa nae sehemu ya bata sinza hapo….alienda nunua malaya huko sijui vijumba gani,sasa kwenda kumla huyo malaya mashine eti ikataa kusimama mpaka anaondoka hapo mzigo hausimami…Mimi sikuamini hicho kitu ila kama ni ndumba Sawa ila ukimwona tu demu uchi mashine hiyo ishaamka sasa sijui ilikuwaje
Mimi nitasimamisha kwa tabu sana kwa wale wanaojiuza vibandani..

Uchafu mtupu..unadinda vipi kama ni mtu uliye na kinyaa?
 
15 Reactions
Reply
Top Bottom