Lupamba's grandson
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,230
- 1,199
Wanatafutwa wadada wawili wasaloon wawe na uzoefu katika mambo ya saloon kwa maana ya kutengeneza nywele na mengine yote yahusianayo na maswala ya nywele ,kufanya makeup, kusuka mitindo na mengineyo. Saloon ipo kariakoo mtaa wa lumumba, vifaa vyote vipo, inakila kitu kinachohitajika na msusi na mtu wa saloon, ,kwa ayekidhi vigezo hivyo ani PM ,wanahitajika haraka ,wahi ,salary ni maelewano.