Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
- Thread starter
-
- #221
Teh teh tehh ,nifunguke vipi mkuu, mi nimekubaliana na mada husika na nimeongeza kua mwanaume akiwa mrefu na mweupe ndo pozi zinazdi zaidi hadi wanaboa.
Hata hapo umefunguka.
kakuponzaNiliambiwa niseme uongo Konda wa bodaboda ona sasa mi sijapenda ushaur wako
Au nikufate mimi?
kakuponza
wamekupitia sana nini manka
bila shaka
Kanichocha kasema niongee uongo nikasema kila mtu ananionabaya Konda wa bodaboda umenichocha..
Mmh huku kuna nyoka
suruali kaipandisha juu, halafu mnene.!
We nipe access tu, mimi siogopi nyoka.
Nataka nikupe pole.
wawe nadharau jeuri kiburi lakin nawaelewa sana hawa watu
Pole yako nipe kwanza hela ndiyo nitasikia
Kuna mdada mmoja aliniambia kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na wanaume watatu kwa nyakati tofauti-tofauti. Mdada huyo ameniambia kuwa wanaume warefu wanakera, kwani wanajiona sana na kujisikia, pia wana dharau na hawapendi mazungumzo mengi kama watu wafupi walivyo.
Nimejaribu kuuliza kwa wa baadhi ya wadada wanasema kuwa wanaume warefu ni wazuri nje ila tabia zao sio, wengi wanawaona watu walio wafupi kama takataka. nimeona nililete kwenu wadada wa jf semeni kama kuna ukweli hapa.
Be serious.
Mimi ni Tata mtanzania halisi mzalendo na muumini wa siasa za ujamaa na KUJITEGEMEA. Need I say more?We jamaa ni mkurya.
umemjibu kumridhisha tu
ndio maana tumeelewana kumbe??