Wadada: wanaume warefu wanajisikia na wana dharau

Wadada: wanaume warefu wanajisikia na wana dharau

Konda wa bodaboda

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
7,981
Reaction score
4,172
Kuna mdada mmoja aliniambia kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na wanaume watatu kwa nyakati tofauti-tofauti. Mdada huyo ameniambia kuwa wanaume warefu wanakera, kwani wanajiona sana na kujisikia, pia wana dharau na hawapendi mazungumzo mengi kama watu wafupi walivyo.

Nimejaribu kuuliza kwa wa baadhi ya wadada wanasema kuwa wanaume warefu ni wazuri nje ila tabia zao sio, wengi wanawaona watu walio wafupi kama takataka. nimeona nililete kwenu wadada wa jf semeni kama kuna ukweli hapa.

Be serious.
 
sasa si wanajua wanashobokewa? Wadada wanapenda sana hao warefu nao wakishajua hilo wanavimba bichwa. Basi wawarudie wafupi kama warefu wanazngua
 
Kuna mdada mmoja aliniambia kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na wanaume watatu kwa nyakati tofauti-tofauti.
Mdada huyo ameniambia kuwa wanaume warefu wanakera, kwani wanajiona sana na kujisikia, pia wana dharau na hawapendi mazungumzo mengi kama watu wafupi walivyo.
Nimejaribu kuuliza kwa wa baadhi ya wadada wanasema kuwa wanaume warefu ni wazuri nje ila tabia zao sio, wengi wanawaona watu walio wafupi kama takataka. nimeona nililete kwenu wadada wa jf semeni kama kuna ukweli hapa.
Be serious.

haina haja ya hapo kwenye blue..huyu atosha..
cc😀r. MCHUNGUZI HURU (PhD)
 
Back
Top Bottom