Wadada wanaotoka familia zenye uwezo ni wazito kitandani

Habari wana JF.
Katika kauchunguzi kangu nilikokafanya hadi leo hii nimekuja kukonkludi kua. Wale wadada wakishua yaani ful mashauzi, linapokuja suala la game pafomansi yao iko poor kabisaaa ukilinganisha na wale wakitaa.
Yaani ukitaka game la maana bora upitie uswahilini utakongoka na roho yako kuliko kuchukua hawa wa ofisi wizi mtupu baby baby nyingiii lakini inapokuja swala la game utakinahi mwenyewe.
ofisi haihusiani na uswahilini..naeza kuwa wa ofisi ila nakaa uswahilini...
 
Yaani hakuna hajaa ya utafiti, io kitu inatokea Sana! Binti mrembo, lakini ukija kwenyee hapo Kati ni maduduu tuu Hamna jipya
 
Kungonoka tuu....ila wakt wa kuoa anaoa wakishua mwenzie....Jiulize...

ni hivi sisi choka mbaya tunatamani kutoka na mademu ya kishua hapa mmeelewa kwa nini
ila wakishua wanapenda kungonoka na mademu wa uswazi kwasababu ya utamu
 
!
!
naomba kutofautiana mleta mada. Mie kuna mtoto mmoja wa kishua wa kuitwa Jack alikuwa wa kishua na washika dini mno, ila kwenye mambo flani she is in my top two best performers of all times. Jack anajua nyie, maaaaamaaaaaa!......japo alikuwa bonge kimtindo ila daah. Wherever you are Jack, we mkali mno na nakuheshim sana. Hata mwaka elfu tatu am ready for one more.
 
Mdau kwa jinsi ulivyomsifia yawezekana yuko poa. Hebu nipm ful name yake hapa na maeolezo yake ikibidi niweze kukusaidia kumgugo.
 
ofisi haihusiani na uswahilini..naeza kuwa wa ofisi ila nakaa uswahilini...

Mleta mada ameshindwa kulidadavua hili neno la wadada wa familia bora...acha nimsaidie tena.

Wadada wa kishuwa (kuku wa kizungu) hawa ni wasichana au wanawake ambao wanatokea kwenye familia bora kabisa na siyo bora familia. Wengi wao wanakuwa wamesoma sana au bado wanaendelea kusoma...na kama wanafanya kazi basi ni sehemu ambazo wanalipwa vizuri na ni vigumu sehemu hiyo mdada wa uswahilini(kuku wa kienyeji) kupata kazi hapo.

Hizi ni familia ambazo kwao wao kwenda Marekani au Ulaya ni kama kutoka hapa Mikocheni kwenda Kariakoo tu.
Wengi wao wamesoma nje ya nchi kwa pesa za kifisadi au za kihalali. Shopping zao ni Mlimani city,Dubai na hata London.
Toka ameanza chekechea hadi kufika Chuo kikuu haijui daladala...yeye ni school bus au private car ya home.

Wengi wao wanaishi maeneo ya katikati ya jiji kama posta,Masaki,Mikocheni,Osterbay,Mbezi beach, Mbezi ya Kimara,Kijitonyama, na kidogooo baadhi ya maeneo ya kariakoo sehemu zenye wahindi na waarabu.
Hizi ni familia ambazo tokea mtoto anazaliwa hadi anapata akili na kukua anatizama DSTV na siyo local channel.

Walio wengi nyumba zao zinalindwa na Ultimate security,KK,Group four,JWTZ,polisi au FFU...inategemea wazazi wanafanya kazi gani. Michezo yao ni tennis, golf,kuogelea na kushiriki mashindano ya mbio za mbuzi pale masaki.
Wakiumwa wanapelekwa kwenye hospitali bora kabisa na siyo bora hospital. HAWA NDIYO KUKU WA KIZUNGU AKA FAMILIA BORA...si maanishi kama uswahilini hazipo familia kama hizi,laa hasha najuwa zipo lakini ni chache sana tena ni za kuhesabika.

Kiukweli tukiacha ushabiki pembeni na kuongea kiuhalisia kuku wa kizungu ni vigumu sana kumpata kimapenzi...utampata lakini siyo ki rahisi rahisi kama ilivyo kwa dada zetu wa Uswazi (kuku wa kienyeji) a k a Ntombe Nkale.

Am done.
 
kweli nimeamini wanaume wote ni walemavu kasoro wachache. kila siku humu ni thread tu oo wanawake hawatufanyii hivi, oo vile, hela yao wanaficha, hafukuzi mbu wakati nahitaji kulalq, nikivua boxer bafuni nikaweka nayeye anaiacha, hanipi raha 6×6 , hazai akizaa watoto wote sura kama wasira, akizeeka sura inajikunja badala yakuwa kama mtoto. eeeewhh . akiwa 30± cjui nyenyenyere kibao. sio bure wanaume kuna kitu mnawafanya wanawake wawe hivyoo. mbona simple wanaume jichangeni itisheni harambee kila bara fungueni kiwanda chakutengeneza wanawake mnaotaka. haya magudegude yaachani au vipi.
 
Mdau kwa jinsi ulivyomsifia yawezekana yuko poa. Hebu nipm ful name yake hapa na maeolezo yake ikibidi niweze kukusaidia kumgugo.

!
!
Yuko poa mpaka kichefuchefu yani, loh. Kwanza umejuaje kama namsaka sana na sijafanikiwa kumuona. Anyway, Jina la kwanza nimeshakupa na la pili yake linafanana na jina la raisi wa mateja. Naomba usiniulize zaidi ya hapo. Hhahahahahahaaaaa
 
Mleta mada ameshindwa kulidadavua hili neno la wadada wa familia bora...acha nimsaidie tena.

Wadada wa kishuwa (kuku wa kizungu) hawa ni wasichana au wanawake ambao wanatokea kwenye familia bora kabisa na siyo bora familia. Wengi wao wanakuwa wamesoma sana au bado wanaendelea kusoma...na kama wanafanya kazi basi ni sehemu ambazo wanalipwa vizuri na ni vigumu sehemu hiyo mdada wa uswahilini(kuku wa kienyeji) kupata kazi hapo.

Hizi ni familia ambazo kwao wao kwenda Marekani au Ulaya ni kama kutoka hapa Mikocheni kwenda Kariakoo tu.
Wengi wao wamesoma nje ya nchi kwa pesa za kifisadi au za kihalali. Shopping zao ni Mlimani city,Dubai na hata London.
Toka ameanza chekechea hadi kufika Chuo kikuu haijui daladala...yeye ni school bus au private car ya home.

Wengi wao wanaishi maeneo ya katikati ya jiji kama posta,Masaki,Mikocheni,Osterbay,Mbezi beach, Mbezi ya Kimara,Kijitonyama, na kidogooo baadhi ya maeneo ya kariakoo sehemu zenye wahindi na waarabu.
Hizi ni familia ambazo tokea mtoto anazaliwa hadi anapata akili na kukua anatizama DSTV na siyo local channel.

Walio wengi nyumba zao zinalindwa na Ultimate security,KK,Group four,JWTZ,polisi au FFU...inategemea wazazi wanafanya kazi gani. Michezo yao ni tennis, golf,kuogelea na kushiriki mashindano ya mbio za mbuzi pale masaki.
Wakiumwa wanapelekwa kwenye hospitali bora kabisa na siyo bora hospital. HAWA NDIYO KUKU WA KIZUNGU AKA FAMILIA BORA...si maanishi kama uswahilini hazipo familia kama hizi,laa hasha najuwa zipo lakini ni chache sana tena ni za kuhesabika.

Kiukweli tukiacha ushabiki pembeni na kuongea kiuhalisia kuku wa kizungu ni vigumu sana kumpata kimapenzi...utampata lakini siyo ki rahisi rahisi kama ilivyo kwa dada zetu wa Uswazi (kuku wa kienyeji) a k a Ntombe Nkale.

Am done.
Umedadavua fresh sana wewe,na kwa kuongezea hata kama anafanya kazi lakini bado anaishi kwao na kuna uwezekano mkubwa mchumba akatafutiwa.Kwa hapa Dar es Salaam muulize maeneo machache tu kama anayajua?unaweza ukastaajabu sana,muulize UNALIJUA DARAJA LA MANZESE?
 
Back
Top Bottom