wa kwangu akija akiondoka hata nikimpa huwa anakataa....some ime anachukua.....ila ni wa thamani kwa kuwa nimemuonesha kuwa ni wa hivo hasa kwangu na kwa wazazi wake na sio sababu ya pesa......namjali kama wajibu wa kiume so uthamani inategemea...........maana kama akipewa mihelaa af ana mambo ya kijinga hawezi kuwa wa thamani
Kula'ela,yaani kutumia pesa kwa ajili ya kujiburudisha,ni lazima uwe na mwanamke. Kula pesa bila mwanamke ni sawa na kula ugali bila mboga.Hahah pesa na mwanamke ni kama pande mbili za shilingi, kwenye thread yao mpya vitu wanavyochukizwa na wanaume namba moja ni ubahili😀😀.
Kama unazo nyingi we honga kadri unavyoweza, hamna marufuku na watakupenda kweli kweli kipindi cha mavuno.😀😀Kula'ela,yaani kutumia pesa kwa ajili ya kujiburudisha,ni lazima uwe na mwanamke. Kula pesa bila mwanamke ni sawa na kula ugali bila mboga.
Hivi! Inaingia akilini kweli uende bar uanze kuagiza mipombe, uyanywe mwenyewe,mwanzo mwisho bila kuwa na mwanamke! Hitimisho la furaha yako ni usingizi yaani ukalale umwene?
Maradhi ya msongo wa mawazo unayakaribisha wewe kwa sababu ya ubinafsi.
Ukimhonga mwanamke,linapokuja suala la mapenzi,utafanya kwa kujiamini sana,kwa sababu una dhamana ya fedha zako. Utajituma hadi utajiogopa! Lakini ingia kichwa kichwa hauna hata chapa uone!
Ukiambiwa 'kaka nisaidie nauli ya daladala' utatachechetuka adi utajidharau. Maana kutunga uongo napo ni kazi'ujue!
Nani alikuambia kuhonga mwanamke kwa ajili ya kulainisha penzi kunaubaya? Ee bw eeh tusipotoshane, me nikipata mlupo nahonga.
Alafu mnasema Rais kabana pesa wkt ninyi mmewekeza kwa Sangoma??Kama unazo nyingi we honga kadri unavyoweza, hamna marufuku na watakupenda kweli kweli kipindi cha mavuno.😀😀
Nimependa wazo lako mkuu hauna tofauti na mimi kabisaNapenda sana wadada wanaotengeneza pesa zao wenyewe.
Napenda sana wadada wanaojitegemea mwenyewe.
Bwana Yesu asifiwe,
Mimi nimegundua wanawake wengi mnaowaona/wanaoonekana wathamani ni kwa sababu wapo wanaume wanaowapa pesa nyingi bila mpangilio kuliko unazotaka kumpa wewe.
Kumbe uthamani, kujidai na ujeuri wao ni kwa sababu ya hao wanaowapa pesa ovyoovyo. Kwaiyo kumbe kama wanaume watajitambua, nao pia akili yao na kujiona kwao kutapungua. Fedha mnazotumia kuwapa wadada, ungeweza kabsa kulipa Mahari mkaishi mke&mume.
Nanyi wadada MTU anaekupa fedha bila mpangilio na hana mpango wa kukuoa, mwangalie sana, na ndo maana hata fedha zinatumika pasipo mpangilio. Kwa watu wanaopendana huwa wanapeana pesa pale mmojawapo anapokua na uhitaji LAKINI SIO SHERIA MWANAUME KUMPA PESA MDADA WAKATI MPO KWENYE MAPENZI BUBU.
Na yeye akupe pia ukiwa broke kama anayo.Ujue kuna wadada wanaopenda pesa hadi wana pitiliza hao ndo kuwapa pesa inaleta shida.
Wakati ikiwa si lazima kumpa dem wako pesa nadhani ni muhimu, ilimradi zipo na aridhike na ulicho nacho na unachompa
Vichwa panzi kama hao wacha waende...wakitaka kupewa pesa..na wao watoe nikiwa broke..hasa wakiwa nazoMtumishi hamna namna usipo wapa pesa wanakukimbia....!
Unawapa wakiwa na shida..na wao wakupe ukiwa na shida..hayo ndiyo mapenzi...otherwise unanunua broWanawake kama pesa zipo wapewe tu. Maana watatutoa roho.
Wapewe kama zipo
Wapo,sema kwa neema ya Mungu.Kuna wenye mapenzi ya dhat??? Paka microscope kuwapata....
Sasa si afadhali umwambie kuliko kumdanganya??Haupo crias ndiyo maana hujawapata. kama unawachezea lazima na wewe wakuchezee. you do me i do you huo ndiyo mpango mzima. mimi siwezi nikakupenda kwa dhati wkt nakuona mtu mwenyewe magumashi tuu
KupeanaPesa imekuwa ni chambo na kichocheo cha mapenzi kwa baadhi ya watu
Wewe pia tafuta pesa..kwa nn wewe mlemavu???tafuteni pesa acha kulia
Ni kweli ili na wewe upate kutoka kwake??Napenda Mdada anaejitafutia hata Siku akiniomba mtaji ntampa mana najua pesa haitaenda bure sio yule ambae hataki kujishuhulisha anabagua kazi View attachment 408609
Papuchi goes with dusheNa ndo maana hata upendo ckuiz hakuna Bali ni ""nipe nikupe""
Na wao wafanye kazi watoe pesa kwa wanaume,vinginevyo watagongwa na kuachwa.Hahah pesa na mwanamke ni kama pande mbili za shilingi, kwenye thread yao mpya vitu wanavyochukizwa na wanaume namba moja ni ubahili😀😀.