Wadada wanajiona wa thamani sababu mnawapa pesa

Wadada wanajiona wa thamani sababu mnawapa pesa

pesa zenyewe sh ngapi wanapewa.

Huoni kila siki wananyang'anywa magari wakiachwa.

Pesa za kuweka nywele bandia,kununua simu, nguo hizo ndo wanazopewa na haziwasaidii.

Wanawake wanaopenda pesa sana wengi hawajitambui.
Hata kuku wa kike amewazidi akili...kuku anajitafutia chakula mwenyewe..hasubiri jogoo amlishe.
 
Kula'ela,yaani kutumia pesa kwa ajili ya kujiburudisha,ni lazima uwe na mwanamke. Kula pesa bila mwanamke ni sawa na kula ugali bila mboga.
Hivi! Inaingia akilini kweli uende bar uanze kuagiza mipombe, uyanywe mwenyewe,mwanzo mwisho bila kuwa na mwanamke! Hitimisho la furaha yako ni usingizi yaani ukalale umwene?
Maradhi ya msongo wa mawazo unayakaribisha wewe kwa sababu ya ubinafsi.
Ukimhonga mwanamke,linapokuja suala la mapenzi,utafanya kwa kujiamini sana,kwa sababu una dhamana ya fedha zako. Utajituma hadi utajiogopa! Lakini ingia kichwa kichwa hauna hata chapa uone!
Ukiambiwa 'kaka nisaidie nauli ya daladala' utatachechetuka adi utajidharau. Maana kutunga uongo napo ni kazi'ujue!
Nani alikuambia kuhonga mwanamke kwa ajili ya kulainisha penzi kunaubaya? Ee bw eeh tusipotoshane, me nikipata mlupo nahonga.
Tofautisha umalaya na mapenzi ya kweli
 
Neno kuntu, hii ndio imenifanya niamue kwamba swala lakuhonga na demu sasa NOOOO!
 
Haupo crias ndiyo maana hujawapata. kama unawachezea lazima na wewe wakuchezee. you do me i do you huo ndiyo mpango mzima. mimi siwezi nikakupenda kwa dhati wkt nakuona mtu mwenyewe magumashi tuu
Usiseme hivyo, wanawake wengi wa sasahivi ni vimeo, mtu unampenda kabisa na unamwekea malengo ila haipiti siku chache anapata mtu mwingine na kukudis

Lingine ni kupenda pesa kupitiliza mpk kusahau hata utu.
 
Ukiona mdada anakajeuri au wanasema cjui mashauzi ni dhahiri ana mahsiano na kigogo, m/biashara kwa iyo anajiongeza thamani mwenyewe akijua ww hutampa km anavyopewa.
Mungu awasaidie
Mchungaji umepotelea wapi?
 
Napenda sana wadada wanaotengeneza pesa zao wenyewe.

Napenda sana wadada wanaojitegemea mwenyewe.
Me nadhani huku africa wanawake wengi wamejiweka kiutegemezi na kutokujikubali kwamba wanaweza bila wanaume!besides hata kama mwanamke ana kazi bado atajiweka katika hali fulani ya utegemezi.wanaume pia hawapo nyuma akishaona mwanamke ndio anafunguka basi na yeye anakaushia hata pedi na choklet hanunui anataka abebwe muda wote tu
 
Wewe hujui mapenzi ya kweli??
Sio lazima kumtunza ikiwa yeye anajiweza..kama umependa fanya..usipofanya bado anakupenda...na ukimsaidia na yeye atakusaidia kipindi cha dhiki...haya ndiyo mapenzi..vinginevyo unaliwa.
 
Back
Top Bottom