wadada wabaya ndo hutongoza wanaume

wadada wabaya ndo hutongoza wanaume

zimwimtu

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
1,988
Reaction score
1,097
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.... (copy from lala 1)

nawasalimu wana jamvi.., hop mko poa na mnaendelea na kazi, japo wengine hang-over zinasumbua lakin inshallah jion itafika tu.

ni mijadala mingi imepita kuhusu wanawake kuwatongoza wanaume na utamaduni wa kiafrika, kwangu mim naona ni kitu kizuri mtu kueleza hisia zake, haijarishi ni mwanamke au mwanaume.

sasa mie hili limenitokea mara ya tatu kutongozwa na wasichana. sio kwamba mim nina muonekano mzuri, la hasha,

lakin wasichana wote hao ni wale shapeless, sura mbaya, yaani sio presentable kabisa. naiuliza siri iliyopo hapa, je wadada waliokata tamaa kabisa ndo hufikia wakati kutongoza wanaume sababu hawatongozwi au ni kitu gani? wanaume wenzagu semen, mlishawahi kutongozwa na mdada kisu kabisa?

mie kutokana na experience hiyo nime conclude kwamba utaratibu wa wadada kuwatongoza wanaume haupo, ila tu ni kwa wachache ambao wamepoteza muelekeo.

wadau prove me wrong.
 
Wewe mwenyewe kipande?????!!!!!
Au unataka visu wakati na wewe ndo pangu pakavu???!!!!
Hao visu unaowasema wanatongoza ila ni masista duu maarifa so kusoma betwen em lines needs umakini katika hilo!!!!!


Either ways mwanamke mwenye ujasiri wa kukutongoza msikilize na mueleweshe kwa mujibu wa matakwa yako kama you are tricky enough make her the best friend hutojuta ni washauri wazuri na mara nyingi huwa wanamsaada sana pindi unapokuwa na uhitaji!!!

Kila game ina rules zake ukizingatia hujuti kucheza
 
Kizuri kula na nduguyo, ungemkuta na mzungu ungesema wanashobokea wazungu wabongo wenzie hawawataki,umefatwa
unasema wanawake wabaya,huyo mbaya kwako ujue mzuri kwa mwenzio..jengine ebu weka picha yako nikuone kama na wewe unakubalika isijekua walikua wanakustiri tuuu..
 
mbona hao visu nao wanatongoza wanaume ila hao shapeless ndo size yako uckatae kijan shafisha rungu tu, utafiti ni ukwel
 
Sio kweli kwamba wanawake shapeless na sura mbaya tu ndiyo wanaotongoza wanaume bali imetokea kwako wewe ndio maana ukafikiri hivyo. Kuna kutongozwa kwa aina nyingi inategemea na utaalamu wako wa kuwasoma, mara nyingi hawako direct kama wanaume kutokana na hofu ya kukataliwa mbele za watu au kuonekana kwamba ni malaya wakati sio. Wanawake wanapenda na kutamani kama wanaume isipokuwa wanakuwa waoga kusema. Ila wapo pia wanaume ambao ni waoga na mara nyingi huwatumia watu wengine kuanzisha mahisiano.
 
zimwimtu Nadhani tatizo nilionalo kwako ni kuzungumzia mchezo wa pool table wakati huujui. sanaa ya kutongoza ni pana sana na inategemea jinsia, mazingira, elimu, utamaduni n.k kama hujui kusoma alama za huo mchezo unaweza usijue kama unatongozwa au unafanyiwa rafu.

kingine usiwe na uhuru wa kusema fulani mbaya kwa kujumuisha jamii nzima kwani ubaya au uzuri wa mtu ni macho ya mtu.
 
Last edited by a moderator:
Mie tangu mtoto natongozwa na wanawake, huwa nashangaa wanosema wanawake wanashindwa kutongoza.......!!
 
ASA zimwi AF itongozwe na visu? Pole km haijakutokea inaonekana huna chcht cha kuwafanya wavutike nawe, ht bodaboda huna?
 
hcho c ktu cha ajabu, pia uzur wa mtu upo ndani ya mtazamaji, waweza sema ni mbaya lakn mwenzio ataona ni mzuri. Hk kitu kshanitokea mara mbili. Na cdhan kama waliokata tamaa nd6 wanatongoza hapana, hata wenye wapenzi pia huwatongoza wengne kutokana na hisia znavyomtuma na mvuto wake kwake
 
Wewe mwenyewe kipande?????!!!!!Au unataka visu wakati na wewe ndo pangu pakavu???!!!!Hao visu unaowasema wanatongoza ila ni masista duu maarifa so kusoma betwen em lines needs umakini katika hilo!!!!!Either ways mwanamke mwenye ujasiri wa kukutongoza msikilize na mueleweshe kwa mujibu wa matakwa yako kama you are tricky enough make her the best friend hutojuta ni washauri wazuri na mara nyingi huwa wanamsaada sana pindi unapokuwa na uhitaji!!!Kila game ina rules zake ukizingatia hujuti kucheza
nimekuelea ndugu. ushauri mzuri sana
 
Mimi mara zote waliowahi kunitongoza walikuwa ni warembo sana mpaka huwa nashangaa, sijuwi wewe mkuu imekuwaje tena upande wako.
 
Si kweli. Alhamisi iliyopita mbona mimi nilitongozwa na dada mmoja mzuri sana pale Calabash Mwenge? Labda useme tabia ya mtu tu ila sura na shape hazitoi jibu la moja kwa moja kwa mtongozaji wa kike
 
Back
Top Bottom