Nilikuwa na watatu hawajuani uzuri mmoja alipata uhamisho kwa hiyo ikawa long distance love. Lilibumbuluka siku mmoja gari ilikuwa mbovu ikabidi anirudishe kwa pikipiki niwahi kipindi ndipo no 3 aliponiona live. Ujana maji ya motoNdugu yangu,mm nilihtimu Degree ya kwanza mwaka jana mwezi December so maisha ya chuo nayajua kuliko Professor anavyoyajua.Ukienda chuo usijihusishe na wanawake wa chuo na ukishindwa tafuta mwanamke wa mtaani kwaajili ya kukidhi mahtaji ya kisaikolojia na ukishindwa kabisa the lastly choice nenda ukanunue Malaya kwa kuwa huwa wanapatkana kwa urahic sehem za town ukizingatia kwa Tanzania hakuna chuo kikuu kilichojengwa kijijini,enjoy the beautifully life of University.
Ni Pm namba yake mkuu,nahaid kumpendaMm nina Mdogo wangu, yupo mwaka wa pili hata boy friend hana, na ni Urembo haswa lakin hataki mahusiano chuoni.
Wanawake waaminifu wapo sna, ila kumpata sasa .........
Utampata hapa JF, achana na wa vyuoni mkuu. Nikutajie?Habari wana jf.. Ningependa kuuliza swali hili kama title ya uzi inavojieleza?
Je vyuoni uko naweza nikapata mdada ambae tunaweza kuwa na uhusiano wa kimapenz wenye kuwa na kujengana na kuendelezana kimaisha?
Wengine tumemaliza decade hapa bila bila tena ukisema unaishi Kwamtogole ndiyo kabisa wanatafutwa wa MasakiUtampata hapa JF, achana na wa vyuoni mkuu. Nikutajie?
Kwa vile nipo kibaruani, nitaomba dada yangu Miss Natafuta aendeleze mjadala lakini usisahau kumlipa ujira wakeHaha sawa mkuu nitajie tu
Mimi nawashangaa hawa wanaume, kucha kutwa kuhangaika kutafuta wachumba ati vyuoni. Acha wafu wazike wafu wao. Komaeni hapa JF kuna mapenzi ya ukweli hasa ukikuta dada ni mwalimu. Na nyie akinadada mnakurupuka mkikutana na PM nyingi. Huwezi kujua chumvi inatosha kwenye mboga bila kuonja. Nauzika kuona mtu wa JF anaoa kutoka nje ya JFWengine tumemaliza decade hapa bila bila tena ukisema unaishi Kwamtogole ndiyo kabisa wanatafutwa wa Masaki
Na wewe ulimpatia hapa JFMimi nawashangaa hawa wanaume, kucha kutwa kuhangaika kutafuta wachumba ati vyuoni. Acha wafu wazike wafu wao. Komaeni hapa JF kuna mapenzi ya ukweli hasa ukikuta dada ni mwalimu. Na nyie akinadada mnakurupuka mkikutana na PM nyingi. Huwezi kujua chumvi inatosha kwenye mboga bila kuonja. Nauzika kuona mtu wa JF anaoa kutoka nje ya JF
Mie nilimpata kabla ya JF haijatengenezwa, jana nimempiga chini ili nisaidie kumaliza ugomvi wa akina NGOSWE.120Na wewe ulimpatia hapa JF
Hii ngoja ninasikia imelisha wengi ban janaMie nilimpata kabla ya JF haijatengenezwa, jana nimempiga chini ili nisaidie kumaliza ugomvi wa akina NGOSWE.120
Ohhhhh kumbe nami naitafuta ban. Kwa heri, waslimie wa kwa Mtogole na majirani wenu wanaooa walimu wao. Ila hongera zao maana wamevunja rekodi ya kuwa first lady mzee kuliko PresidentHii ngoja ninasikia imelisha wengi ban jana
Siri ya mtungi aijua kata kijana rais wa nchi kupata usingizi kwa grannyOhhhhh kumbe nami naitafuta ban. Kwa heri, waslimie wa kwa Mtogole na majirani wenu wanaooa walimu wao. Ila hongera zao maana wamevunja rekodi ya kuwa first lady mzee kuliko President
Si ajabu mambo hayaendi, mwalimu anamfichiaSiri ya mtungi aijua kata kijana rais wa nchi kupata usingizi kwa granny