Wadada wa Singida tunajua mahaba

Wadada wa Singida tunajua mahaba

Tafuta kitabu hy ikusaidie
FB_IMG_17892084352762469.jpg
 
Yule binti akisoma nitachoandika atajijua ni yeye.

Basi bwana tukavibe, akanialika kwake. Ile nafika nakuta amehifadhi muwa mrefu kwenye kona ya chumba.

Kazi nyeupe imepanda hewani ukiiangalia huwezi dhania inaweza hifadhi muwa. Basi nikapuuzia, ikafika muda kukiss. Aliachama mdomo kama nampa tonge la ugali.

Nilivyoondoka sikurudi
 
Singapore wanakatwa antena, huo ujuzi wa mahaba unatoka wapi?
 
Me nshakuambia usikute unaliwa bure na maisha huna utakondeana kama mbwa wa migahawa ya pale mkwajuni
 
Back
Top Bottom