Kuvaa pete ya ndoa kabla ya kuolewa ni kujifungia mlango. Wanaume waoaji hawatakuangalia mara ya pili labda kama binti hataki kuolewa.Unashangaa hao kuna mmoja anavaa ya Ndoa na hajaolewa anakwambia anapenda this 3eé2
heheheSimpendi mwanaume Mwenye vidole vifupi.
HaswaaaaaaKumbe vidole vyetu vina reflect Size ya gegedo?
Wimbi kubwa halaf kwenye picha unaweka moja tu. How did you know ni single mother??? lets say husband amesafiri na anamtunzia heshima yake.Hamjambo!
Moja kwa moja niwafikishie kile kilichofanya nije nijuzwe na hawa dadaz wetu hasa wa mjini. Kumeibuka wimbi kubwa wanavaa Pete sio ya ndoa na sio kwenye kidole cha ndoa no wanavaa kwenye kidole cha 4 na wengi wao wanakuwa single mothers.
Mwenye kujua maana ya kuvaa hivyo tafadhari atujulishe.View attachment 368595
Hahahaha u made my day
Mwanaume mwenye vidole vifupi anakuwa na kidudu kifupi pia..... Mimi pia SIWAPENDIIISimpendi mwanaume Mwenye vidole vifupi.
Kwely......Nna Mguu Mkubwa kiatu navaa 45 Size
Haha we unavaa 36 iKwely......
Kibamia kileeeee....
na naniliu yake inakuwaga fupi.....Simpendi mwanaume Mwenye vidole vifupi.
Kwa sababu havigusi G spotSimpendi mwanaume Mwenye vidole vifupi.
Inasemekana vina uhusiano na ufupi wa horizontalSimpendi mwanaume Mwenye vidole vifupi.