WADADA WA SALOON

WADADA WA SALOON

Habari wakuu, poleni kwa majukumu ya kuendelea kuelimishana na kuburudishana.

Nina swali Leo, Hivi hawa wadada wa saloon wanafanya kazi ngapi , maana hizi kauli za "Ukihitaji massage pia nafanya", cha ajabu saloon haina sehemu ya massage , ni nini hiki , mbona naona mazigazi.....

Hii huduma mbona TRA kama hawajaiona waanze kukata kodi!
[emoji276] [emoji276] [emoji276]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom