Wadada wa mujini na magari vp?

Wadada wa mujini na magari vp?

Tarime one

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
2,246
Reaction score
1,742
Before sijaingia kwenye topic ya wadada kwa wale wanaokumbuka nilileta habari iliyojitokeza live ya jamaa yangu ngosha kukuta no kwenye cm ya best yake ameseviwa kimahaba na kuleta sintofshamu niliwaahidi nitawajulisha mwisho wake,kwa masikitiko makubwa ile ndoa imevunjika.
Back to our topic,hii naomba tuliweke sawa naona inazidi kukua hii tabia,najua wapo wadada wanaomiliki magari yao hii hainipi shida,shida kwangu ni wale wadada wanaoshobokea wenye magari,imekua fashion mwanaume ukimiliki usafiri wako wadada hawakupi tabu kuwapata why?au ndo ugonjwa wenu tena coz vijana nowdays wanajua bila gari kuchukua wadada wazuri issue,mnawapa shida vijana wanakopa hela wananunua magari sababu ni nyie tunaelekea wapi?
 
Tatizo ni la huyo ambae anakwenda kupata BP kisa kakataliwa na mwanamke wakati dunia ina bilions of ladies

Wapo wengi sana hawa na kama wanakupa shida kwenye hisia zako hebu jikague mara mbili

Haijalishi aina ya kazi unayofanya au kipato chako,unaweza kupata "dem" mkali sana

Haya makelele yao ya kudai wenye hela ni mbwembwe tu na hayapo kwenye hali halisi

Jiamini halafu utaona!
 
Ukitaka kuwakamata wenye uelewa mdogo huwa wanapenda sana magari ndo wanaona mtu labda tajiri
 
Hujiamini tu na verse zako hazijatulia mkuu

Kuna watu wanatembea na wadada kbao hapa town na hawana hat KI DUET mkuu.

Na katika uhalisia wanawake huwapati kwa kutumia magar Bali kwa kujiamin
 
kuna hata wanaume wanaoshobokea wadada wenye magari,watu wengi wako kwenye kutafuta unafuu/mteremko na si true love,na wa hivyo ni wa KUWAOGOPA SANA
 
Hapo lin nakubaliana na wewe wengi tunapenda vya mteremko na kujishow kwingi.
 
Hujiamini tu na verse zako hazijatulia mkuu

Kuna watu wanatembea na wadada kbao hapa town na hawana hat KI DUET mkuu.

Na katika uhalisia wanawake huwapati kwa kutumia magar Bali kwa kujiamin

mhm i doubt it kama demu that is beautiful haswa kwanza atapata ata hiyo nafasi ya kutongozwa na mijidume ambayo haina gari....pretty ladies wanakuwa kwisha bebwa na real man sio mavocal men
 
mhm i doubt it kama demu that is beautiful haswa kwanza atapata ata hiyo nafasi ya kutongozwa na mijidume ambayo haina gari....pretty ladies wanakuwa kwisha bebwa na real man sio mavocal men

Kama wadada wangekuwa wanabebwa na magari bhasi michepuko isingekuwepo
Mavocal yanapigwa huku huko ofisin..lunch place..bank huko huko kwenye folen.

Wanawake walioolewa na matajari wasingetembea na mahouse boy na mashamba boy kama ishu ni magar

Demu mkali kitu gani mbele ya kujiamin wewe
Watu hamjiamin unaona sio type yako that's the problem
 
,shida kwangu ni wale wadada wanaoshobokea wenye magari,imekua fashion mwanaume ukimiliki usafiri wako wadada hawakupi tabu kuwapata why?
Tarime tunachoka kutembea kwa mguu, plus vumbi na jua tabu jamen.....
 
Umenena vema


Kama wadada wangekuwa wanabebwa na magari bhasi michepuko isingekuwepo
Mavocal yanapigwa huku huko ofisin..lunch place..bank huko huko kwenye folen.

Wanawake walioolewa na matajari wasingetembea na mahouse boy na mashamba boy kama ishu ni magar

Demu mkali kitu gani mbele ya kujiamin wewe
Watu hamjiamin unaona sio type yako that's the problem
 
mjini hapa. joto!!!

wengine kazi zetu za kukimbia kimbia, kupanda na kushuka ngazi siku nzima. we still want to smell fresh all the time. ndomana kuna sanitary breaks.

sasa nitoke kazini all fresh halafu nipande daladala kufuata mwanamume?? aaaahhh-pana.
 
Back
Top Bottom