Wadada wa mujini na magari vp?

Wadada wa mujini na magari vp?

Kama wadada wangekuwa wanabebwa na magari bhasi michepuko isingekuwepo
Mavocal yanapigwa huku huko ofisin..lunch place..bank huko huko kwenye folen.

Wanawake walioolewa na matajari wasingetembea na mahouse boy na mashamba boy kama ishu ni magar

Demu mkali kitu gani mbele ya kujiamin wewe
Watu hamjiamin unaona sio type yako that's the problem

Yap nimekusoma mkuu but hii issue ipo na akinabidada wanakubaliana na hii hoja,pamoja na kujiamini bidada wa bongo mshiko mbele kama dushe.
 
Sasa lift kwenye kavits ndo status gani ndio sina hata kavits ila acha niseme tu
nakuwa nimesave mchoko na jua

Ha ha ha haaaa Evelyn Salt true status gani kwenye vts,mh! Kwako ok kuna wengine kastatus kanapanda.
 
Kupandisha status naazima gari zuri naenda mitaa ambayo hawanijui
nadrive kwa nyodo kama langu vile, narembua tu kama ng'ombe jike
 
Kwa asili wanawake hupenda kulindwa, kuhifadhiwa na kutekelezewa mahitaji yao. mwanamme asiyeweza kumlinda, kumhifadhi na kumpatia mwanamke mahitaji ni nadra na bahati kupedwa. ili mwanamke akupende ni lazima uwe na nguvu fulani au uwezo extra na ule wa kwake. kwa hivi gari ni kitu kimojawapo ambacho kinaweza kumhakikishia mwanamke uhakka wa kufika atakapo na ni prestige pia mbele ya wenzake. chunguza tu kama kuna hatari ya ghafla mwanamke lazima amkimbilie mwanamme aliye karibu yake kwa imani kuwa atamuokoa. ni vigumu mwanamme dhaifu kupendwa na mwanamke. wanaume hupenda wanawake dhaifu kwa kuwa hupata furaha wakiweza kuwasaidia. hii ni nature. tazama jogoo linavomtafutia mtetea punje za mtama. hata siku moja mtetea hafanyi hivo bali hufurahia kutafutiwa. wanaume mnaopenda kutafutiwa jifunzeni kwa jogoo!
 
Kama wadada wangekuwa wanabebwa na magari bhasi michepuko isingekuwepo
Mavocal yanapigwa huku huko ofisin..lunch place..bank huko huko kwenye folen.

Wanawake walioolewa na matajari wasingetembea na mahouse boy na mashamba boy kama ishu ni magar

Demu mkali kitu gani mbele ya kujiamin wewe
Watu hamjiamin unaona sio type yako that's the problem

and there lies the direfence shamba anaweza kumgegeda mwanamke becoz women are predisposed to opening their legs but it is he who has the money that will marry her. ....mwisho wa siku ata nyie wanawake mnajua kuwa life aint all abt kugegedwa....u want the sexurity that money provides
 
Before sijaingia kwenye topic ya wadada kwa wale wanaokumbuka nilileta habari iliyojitokeza live ya jamaa yangu ngosha kukuta no kwenye cm ya best yake ameseviwa kimahaba na kuleta sintofshamu niliwaahidi nitawajulisha mwisho wake,kwa masikitiko makubwa ile ndoa imevunjika.
Back to our topic,hii naomba tuliweke sawa naona inazidi kukua hii tabia,najua wapo wadada wanaomiliki magari yao hii hainipi shida,shida kwangu ni wale wadada wanaoshobokea wenye magari,imekua fashion mwanaume ukimiliki usafiri wako wadada hawakupi tabu kuwapata why?au ndo ugonjwa wenu tena coz vijana nowdays wanajua bila gari kuchukua wadada wazuri issue,mnawapa shida vijana wanakopa hela wananunua magari sababu ni nyie tunaelekea wapi?

duuuh pole sana ndugu yangu kuhusu ngosha. hili nilijua tu ndoa yao haiwezi kufika mbali.
 
and there lies the direfence shamba anaweza kumgegeda mwanamke becoz women are predisposed to opening their legs but it is he who has the money that will marry her. ....mwisho wa siku ata nyie wanawake mnajua kuwa life aint all abt kugegedwa....u want the sexurity that money provides

Good sex and money! Huwezi kututenga na misamiati hiyo!
 
Kwa asili wanawake hupenda kulindwa, kuhifadhiwa na kutekelezewa mahitaji yao. mwanamme asiyeweza kumlinda, kumhifadhi na kumpatia mwanamke mahitaji ni nadra na bahati kupedwa. ili mwanamke akupende ni lazima uwe na nguvu fulani au uwezo extra na ule wa kwake. kwa hivi gari ni kitu kimojawapo ambacho kinaweza kumhakikishia mwanamke uhakka wa kufika atakapo na ni prestige pia mbele ya wenzake. chunguza tu kama kuna hatari ya ghafla mwanamke lazima amkimbilie mwanamme aliye karibu yake kwa imani kuwa atamuokoa. ni vigumu mwanamme dhaifu kupendwa na mwanamke. wanaume hupenda wanawake dhaifu kwa kuwa hupata furaha wakiweza kuwasaidia. hii ni nature. tazama jogoo linavomtafutia mtetea punje za mtama. hata siku moja mtetea hafanyi hivo bali hufurahia kutafutiwa. wanaume mnaopenda kutafutiwa jifunzeni kwa jogoo!

Well spoken! Nimeipenda hii mno! Kama we ni mwanaume lool mke hatopata taabu!
 
Before sijaingia kwenye topic ya wadada kwa wale wanaokumbuka nilileta habari iliyojitokeza live ya jamaa yangu ngosha kukuta no kwenye cm ya best yake ameseviwa kimahaba na kuleta sintofshamu niliwaahidi nitawajulisha mwisho wake,kwa masikitiko makubwa ile ndoa imevunjika.
Back to our topic,hii naomba tuliweke sawa naona inazidi kukua hii tabia,najua wapo wadada wanaomiliki magari yao hii hainipi shida,shida kwangu ni wale wadada wanaoshobokea wenye magari,imekua fashion mwanaume ukimiliki usafiri wako wadada hawakupi tabu kuwapata why?au ndo ugonjwa wenu tena coz vijana nowdays wanajua bila gari kuchukua wadada wazuri issue,mnawapa shida vijana wanakopa hela wananunua magari sababu ni nyie tunaelekea wapi?

na wadada wenye magari wanawashobokea kina nani? au wao hawashoboki?
 
Gari tu japo ya mkopo unashobokewa, bongo

duh! kwa hiyo mnataka kabla hatujawashobokea tuanze na usaili kwamba gari ni la mkopo au la kuazima au la kampuni? kwani likiwa la sirekali au la kuazima halisevu papaz? Sisi gari ni gari tu ilimradi ujue kuzingatia muktadha (context). Si umeona wengine huko wanaponda vitz wakati mi nikiona hata nissan march macho yananitoka? By the way, hivi mtu akikopa hela akanunua gari inaathiri vipi umiliki wake? marejesho ya huo mkopo anakatwa bibi yake au? Kama hukopesheki nani atakupa huo mkopo? Basi huwa nawaangalia makonda na madereva wa daladala na wanadamu wengine wenye wivu wanavyowatukana wenye magari madogo "....toa kopo lako hapo wewe. Kopo lenyewe la mkopo.." Mie huo mkopo nautafuta ninunue phoenix sifikii vigezo. He! nshatoka nje ya mada. Sole
 
Back
Top Bottom