Na makwapa pia muyaweke safi wengine tunapenda kulapamba kwapaMambo zenu jamani.
Nimeona tukumbushane tu madiva wa Dslam kuhusu Visigino vyetu jamani.Sio Siri Dar panaongoza wadada kuwa na miguu michafu yaani Hadi unashangaa huyu katoka kwenye vanga wapi?hii yote Ni Sababu ya kusingizia joto na kuendekeza hivi visendo vya kichina .Yaani mtu muda wote hana usafi,unakutana na dada mzuri kavaa nguo yake nzuri ukimuangalia chini anakukata stimu kabisa
Jamani hebu tusugueni hivyo Visigino yaani mtu kisigino hakieleweki,cheusi utasema alikuwa anasigina masizi🙄!Huyu mchina asitudanganye na slipper zake,na vile Sasa katoa hizo kopi za Tommy Hilfiger Basi yamefika wa wadada wa Dar es salaam,hebu tuwe tunavaa na viatu siku moja moja tutunze miguu hiyo.Hivi mbona Mbeya na Arusha wasafi tu wenzetu.
Unaajita Diva na kisigino kichafu wapi na wapi!Tubadilike
Naomba dear loc ya kuipataaa, hiyo heavy niliwahi kuwa nayoo ila imeisha km mwezi m1, now navaa socks tyuuh.View attachment 2540238
Mzigo wangu huu hapa weekend najimaliza mwenyewe
Wanunulieni mababy zenu @10,000 tu
Naomba dear loc ya kuipataaa, hiyo heavy niliwahi kuwa nayoo ila imeisha km mwezi m1, now navaa socks tyuuh.
Kila nikitafuta siipati. Plz kwa Dar napata wapi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna sehemu nilienda kuangalia mgonjwa. Kulikwa na sitting room za kiarabu (za kuaa chini, kuegemea mito). Aliingia binti mmoja mrembo hasa. Ila alipokuja kukaa na kunyoosha miguu ule uvundo uliotoka hapo ni Mungu tu ndio anajua. Haikujalisha kulikuwa na a/c na harufu ya oud.
Huyo ni mfano tu mmoja lakini wape kina dada wengi hasa wanaoshinda na viatu vya kufunika siku nzima huwa wananuka miguu mno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna Mmoja alikuja Kwangu kwa Shughuli Maalum kumbe Miguuni alikuwa na Magaga na Kunichania Shuka langu Zuri la Urithi. Nilikereka mno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenye mosimo zake aje afwate
View attachment 2540292
Watu watakufaa wako hoii nakuambiaJamani mbona mnatuonea sana??[emoji849][emoji849]
Huku visigino, kule mawigi, tukikaa kidogo bleach mara vitambi.....[emoji55][emoji2418]
Oooh ahsanteee sanaa, ntakucheki soon.Nauza dear
Location
Kariakoo mafia na Jangwani
0655-155782
Maisha yashanipiga nikumbuke mguu na vumbi nitaosha mara ngapi😬Na hili Vumbi ni shida tupu.
Hahahahahah wanawasingizia tuJF hamna wanawake wa aina hio. Humu wote pedicure ni utaratibu wa maisha. Miguu misafi na soft kabisa.
Hapana kisigino no....ila vidole vya mguuni napenda kufyonza🤣🤣🤣🤣🤣 Makwapa yameshasemwa Sana jamani!Kuna sehemu za mwili zinasahaulika Sana...we Hutaki kulamba kisigino kwani?