Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 16,428
- 125,991
Picha za viazi choma zikwapiMambo zenu jamani.
Nimeona tukumbushane tu madiva wa Dslam kuhusu Visigino vyetu jamani.Sio Siri Dar panaongoza wadada kuwa na miguu michafu yaani Hadi unashangaa huyu katoka kwenye vanga wapi?hii yote Ni Sababu ya kusingizia joto na kuendekeza hivi visendo vya kichina .Yaani mtu muda wote hana usafi,unakutana na dada mzuri kavaa nguo yake nzuri ukimuangalia chini anakukata stimu kabisa
Jamani hebu tusugueni hivyo Visigino yaani mtu kisigino hakieleweki,cheusi utasema alikuwa anasigina masiziπ!Huyu mchina asitudanganye na slipper zake,na vile Sasa katoa hizo kopi za Tommy Hilfiger Basi yamefika wa wadada wa Dar es salaam,hebu tuwe tunavaa na viatu siku moja moja tutunze miguu hiyo.Hivi mbona Mbeya na Arusha wasafi tu wenzetu.
Unaajita Diva na kisigino kichafu wapi na wapi!Tubadilike
Ana wasiwasi gani wakati sura yake ana uhakika imemaliza kila kitu kwa mkorogo...π€£π€£π€£π€£π€£π€£Ina maana yeye anakuwa hajui Kama kachafua Hali y hewa?
Sugua gaga hilo π€£Wenye magaga na sugu za miguu tunacomment wapi
Kaka angu ninunulieee MsaniiView attachment 2540238
Mzigo wangu huu hapa weekend najimaliza mwenyewe
Wanunulieni mababy zenu @10,000 tu
πππ haleluya,..ila ako kasket ni kama ukanyanyue kidoogo yani yani YaaniπππHapo kuna futa na filter ππππ
ππππtuliaπππ haleluya,..ila ako kasket ni kama ukanyanyue kidoogo yani yani Yaaniπππ
Sisuguiiiii mje mniueSugua gaga hilo π€£
ππππ ngoja niwe mvumilivu tuπππππtulia
ππ€£π€£ nije na nani?Sisuguiiiii mje mniue
Na mgambo wa jiji ππππ€£π€£ nije na nani?
Elfu 10 hiyo package auView attachment 2540238
Mzigo wangu huu hapa weekend najimaliza mwenyewe
Wanunulieni mababy zenu @10,000 tu
Tutakusugua kwa lazima famchezo nini πNa mgambo wa jiji ππ
Kuna sehemu nilienda kuangalia mgonjwa. Kulikuwa na sitting room za kiarabu (za kukaa chini, kuegemea mito). Aliingia binti mmoja mrembo hasa. Ila alipokuja kukaa na kunyoosha miguu ule uvundo uliotoka hapo ni Mungu tu ndio anajua. Haikujalisha kulikuwa na a/c na harufu ya oud.Eeeeh hao Tena wapya sijakutana nao