๐๐๐Yaani Bora wewe unaitunza, majority tunavaa hivyo visendo wengi wavivu kusugua miguu. Yaani kungekuwa na yale mazoea ya kusugua tu miguu wenyewe Kabla ya kwenda saloon miguu ungekuwa poa.๐๐๐๐๐๐๐ imebidi nijiangalie kabla sijacomment,
Mimi binafsi viatu navaa nikiwa naenda interview ๐, kanisani au shereheni kidogo na date huko kwingine woooi ni visendo tu ๐๐๐๐๐ ila miguu yangu misafi naitreat inavyopaswa
Japo kapicha au kavideo ka sugua gaga basiMambo zenu jamani.
Nimeona tukumbushane tu madiva wa Dslam kuhusu Visigino vyetu jamani.Sio Siri Dar panaongoza wadada kuwa na miguu michafu yaani Hadi unashangaa huyu katoka kwenye vanga wapi?hii yote Ni Sababu ya kusingizia joto na kuendekeza hivi visendo vya kichina .Yaani mtu muda wote hana usafi,unakutana na dada mzuri kavaa nguo yake nzuri ukimuangalia chini anakukata stimu kabisa
Jamani hebu tusugueni hivyo Visigino yaani mtu kisigino hakieleweki,cheusi utasema alikuwa anasigina masizi๐!Huyu mchina asitudanganye na slipper zake,na vile Sasa katoa hizo kopi za Tommy Hilfiger Basi yamefika wa wadada wa Dar es salaam,hebu tuwe tunavaa na viatu siku moja moja tutunze miguu hiyo.Hivi mbona Mbeya na Arusha wasafi tu wenzetu.
Unaajita Diva na kisigino kichafu wapi na wapi!Tubadilike
Watu na mironjo yetuKati ya vitu navipenda kwenye mwili wangu basi ni milonjo, so ukiachana na kwenda kuisugua saloon every now and then, huwa nai take care mimi mwenyewe pia..
Utakuwa unavutia Sana...napendaga Sana nikiona kadada kana vimuguu visafiiuuKati ya vitu navipenda kwenye mwili wangu basi ni milonjo, so ukiachana na kwenda kuisugua saloon every now and then, huwa nai take care mimi mwenyewe pia..
Aliwahi kuniambia kaka yangu, mtu akikutana na wewe kitu cha kwanza kukutazama ni miguuni (viatu), of which nilikuja gundua hichi kitu ni kweli kabisa.Utakuwa unavutia Sana...napendaga Sana nikiona kadada kana vimuguu visafiiuu
Yaani Hali umekuwa mbaya na miguu aiseeKwa kweli umezungumza. Unakuta mtu anajichubua kisigino cheusi yani mguu mchafu. .
Kuna uzi juzi nilisema huwa naangalia miguu kumpa mwanamke marks watu wakabeza. .
Bora mmelijua mapema big turn off
Tena ya kichaga ๐๐๐๐Na wewe una milonjo๐?neno la zamaniii
Na Mimi Kaka yangu aliniamba aisee!anasema yeye anaweza kujua stress na matatizo ya mwanamke kwa kuangalia miguu yake tuAliwahi kuniambia kaka yangu, mtu akikutana na wewe kitu cha kwanza kukutazama ni miguuni (viatu), of which nilikuja gundua hichi kitu ni kweli kabisa.
Ndo usafi wenyewe bidada.๐๐๐๐Yaani mi naongelea usafi we mawazo yanawaza ujinga
Mim tatizo si miguu aisee nina tukucha tubaya๐๐๐tudonchoooooNa Mimi Kaka yangu aliniamba aisee!anasema yeye anaweza kujua stress na matatizo ya mwanamke kwa kuangalia miguu yake tu
Wewe wewe acha kuchafuaTena ya kichaga ๐๐๐๐