Wadada wa Dar: Dk. Shika ni mpole na anaonekana kuyajua mapenzi

Muda mchache baada ya Dr shika kulipia pesa zake alizozitawanya huko duniani. ameanza kuzingirwa na watoto wazuri.
kama wadau wa Jf walivyotabiri hapa

Note:
Jiwe walilolikataa waashi sasa limekuwa jiwe kuu.
879ec2ca2848249e38b8346bd0681155.jpg
Aiseee!! Nmecheka sana.. Wadada Wa kitanzani kiboko
 
Muda mchache baada ya Dr shika kulipia pesa zake alizozitawanya huko duniani. ameanza kuzingirwa na watoto wazuri.
kama wadau wa Jf walivyotabiri hapa

Note:
Jiwe walilolikataa waashi sasa limekuwa jiwe kuu.
879ec2ca2848249e38b8346bd0681155.jpg
 
Huyo mdada anaonekana ana uwezo mkubwa sio size ya mzee shika
pole sana. hata Dr shika walisema hana kitu kutokana na muonekano wake Leo hii ametoa dollar 100 sawa na 230000tsh. bado wabongo hamjifunzi tu?
 
Back
Top Bottom