Wakuu ,naleta Uzi huu kwawadada wadada wa chuo ,wanaringa sana ,wanazingua sana ,wengi wapo kimaslahi zaidi
Mwaka jana rafiki yangu amelizwa na demu wa chuo hivi hivi,wadada wa chuo ringeni sana lakini kuna maisha baada chuo ,acheni ya mwenye mvuvi ,maisha yenu ,mizinga sio issue.