Wadada Wa Bongo Mnaweza hii MAMBO?

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,092





UP DATE:
KUMBE WADADA WA BONGO WANAWEZA, HONGERA ZENU

LEO NOVEMBER 12, 2012


 
siyo kila mtu anaweza hata huko waliko hao akina dada isipokuwa tu wale wenye mazoezi. hivyo hata wabongo wanaweza kama watafanya mazoezi
 
Vitambi vya chipsi waviache wapi, kitimoto na nyama choma mazee hahaah
 
Bahati mbaya mie ni mbibi wa bongo sidhan kama naiweza hiyo!!
 
Bahati mbaya mie ni mbibi wa bongo sidhan kama naiweza hiyo!!

Dah samahani bibi kumbe upo,shikamooo bibi,babu yupo mzima? Ayo ndo tunafanya wajukuu zenu siku hizi wala msiwe na stress kawaida tu..
 
Hukwenda mama africa circus wewe ?
 
labda enzi za "kibisa culture troupe"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…