Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 37,411
- 79,658
Hapana, tunapimana before game. Kama aliambukizwa juzi yake bas tenaWw unatumia?
Hapana, tunapimana before game. Kama aliambukizwa juzi yake bas tenaWw unatumia?
Hahahaaaa!!!yaani miye hata sielewi hapo bichwa gumuuuu balaaaHivi ni black or Red kuna dots najaribu kuconect
Halafu jf bwana unaweza ukawa pm na Id nne mnachat kumbe zote ni mtu mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaah DaJane anaweza kuigeuza ikawa fursa! Ukitaka akupe ubuyu shurti umtumie Mwekundu! Dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakuambia mwenye Ukimwi anaishi kuliko mwenye malaria etiiiWatu wanauchukulia pouw sana huu ugojwa. Hata waambiwe vipi hawaelewi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha
Hivi ni black or Red kuna dots najaribu kuconect
Halafu jf bwana unaweza ukawa pm na Id nne mnachat kumbe zote ni mtu mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kama sielewi.
Vyeti anatembea navyo?
Diary ya malengo ya milenia anatembea nayo?
Umejuaje kuwa ana fedha?
Umeweka profile ya dildo za kiume ..nina wasiwasi na wewe na hii taarifa yako nawaza unataka Ku achieve nini
Sent using Jamii Forums mobile app