Wadada tuwe makini. Kuna member wa kiume anaambukiza HIV kwa makusudi huku Jamii Forums

Status
Not open for further replies.
IMG_8577.JPG


Avatar ya da jane yenyewe utata mtupu isije kuwa anatafuta wateja wa dildo tu
 
Sasa assume mie nitakuja kwako na id ngapi? Utamu wa somo ufanye majaribio kwa vitendo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ku assume ni ngumu

Inakuwa hivi anaweza akaja na Id ya kwanza ukamchunia

Akaja na Id ya pili ukamchunia

Akaja na ya tatu ukaanza kujichatisha
Anaaikumbuka tena ile ya kwanza
Unajikuta umeingia kingi

Kwa hivyo mdada atajua ana wababe wawili jf kumbe ni mmoja tu!!

Sasa na wewe unataka kuwa two in one?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaahhh jamaa hata kama aliupata kwa njia gani ila kama anapitia huu uzi ajue kabisaa anachokifanya sio poa..

Just imagine humu hatujuani ndo kaweka malengo hayo je, kwa hawa wa mitaani inakuwaje na hizo pesa zake ???....

Na nyie wadada mambo ya kufuniliwafuniliwa kama vyoo cha public mtakuja kuponzwa na kuponza familia zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mfano member mmejuana humu hatimaye mkawa Wapenzi unaweza kusex nae bila kupima, Afya kwanza aisee mengine yafuate.
 
Da jane kapigwa kavu plus mkopo juu alichoambulia ni docs za kua cd4 jamaa hana,yani presha inapanda presha inashuka

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Kinachojalisha ni taarifa mkuu....
Kila mtu mwenye akili atakuwa kashasoma ni kitu gani kipo nyuma ya pazia, aidha da jane ndo muhanga au rafiki ake wa karibu humu jf ndo kakutana na kadhia hiyo

Uzuri nilisikia mtu akianza kutumia ARV hata mzigo wa virusi huanza kupungua na kuwa ngumu kumuambukiza mtu unless mkaushane visima hadi mchubuane.. wakamia show na wenye mitwangio mikubwa ndo wana chances kubwa ya kuvipata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tahadhari wana Jf.
Kuna member humu anaishi na virusi vya UKIMWI.
Na anaambukiza kwa makusudi.
Na target yake ni kuwaambukiza wadada wa Jf kwa kisingizio cha kuwatafutia kazi mkoa aliopo.
Ushahidi ninao.
Na member huyu anaitwa Nyeusi 20 (fungua code)
Ushahidi ninao kama kaathirika....
Na hata kama moderate watataka uthibitisho wa vyeti vyake (nilivipiga picha) nitaweka hapa.

Lengo sio kumuanika au kumnyanyapaa...lengo ni kuwapa tahadhari members wengine maana katika diary yake ameweke lengo la kuambukiza wadada 10 kutoka Jf.
(Modereta wakitaka pia screenshot za hio kurasa ya diary aliyoandika nitaiweka hapa au hata huko Pm kwao).
Kama kuna mtu anamjua huyu member au ashawahi kukutana nae live....NAOMBA AWE SHUHUDA WA AFYA YAKE (afya ya Nyeusi 20)

Atoae tahadhari, anawapenda wenzake.
Huyo member ana pesa sana na yuko tayari kukugharamia na kukupa hata milioni ilimradi atimize lengo lake.

Narudia tena.
Sina nia ya kumchafua mtu ila natoa tahadhari tu.
Muwe na asubuhi njema.
Nawapenda sana.
Wadada tamaa zitatuua....hasa kwa wapenda miteremko.
KAPIME UJITAMBUE
 
Eeh! Raha ya ngoma ingia ucheze.
Ku assume ni ngumu

Inakuwa hivi anaweza akaja na Id ya kwanza ukamchunia

Akaja na Id ya pili ukamchunia

Akaja na ya tatu ukaanza kujichatisha
Anaaikumbuka tena ile ya kwanza
Unajikuta umeingia kingi

Kwa hivyo mdada atajua ana wababe wawili jf kumbe ni mmoja tu!!

Sasa na wewe unataka kuwa two in one?


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo da jane nyuzi zake nyingi huwa tata,nahisi anatangaza nafasi za kumliwaza humu,angalia picha gani ameweka kwake utajua ni muuza utumbo tu
Kinachojalisha ni taarifa mkuu....
Kila mtu mwenye akili atakuwa kashasoma ni kitu gani kipo nyuma ya pazia, aidha da jane ndo muhanga au rafiki ake wa karibu humu jf ndo kakutana na kadhia hiyo

Uzuri nilisikia mtu akianza kutumia ARV hata mzigo wa virusi huanza kupungua na kuwa ngumu kumuambukiza mtu unless mkaushane visima hadi mchubuane.. wakamia show na wenye mitwangio mikubwa ndo wana chances kubwa ya kuvipata

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mfano member mmejuana humu hatimaye mkawa Wapenzi unaweza kusex nae bila kupima, Afya kwanza aisee mengine yafuate.
Kuna mazingira mkuu unless uwe na kifaa cha kupimia room ila wengi huo muda wa kupima hawana..
Fikiria mtu anatoka na manzi club na anaenda kavu au kakutana na mtu fb na kesho anaenda nae kavu, sasa vipi kwa humu jf ambapo watu wanaaminiana kiasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna issue moja hivi ya kitambo sana sasa najaribu kufikiria kama hiyo nyeusi ni code tunaifunguaje!

Halafu kama ni mawazo yangu basi ile ilikuwa story inayowasilisha uhalisia fulani.

Anyways ngoja niwaachie wenye mababe zao humu wapambane


Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi mmewaza but I'm not shuaaa naikumbukaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom