Wadada tuwe makini. Kuna member wa kiume anaambukiza HIV kwa makusudi huku Jamii Forums

Status
Not open for further replies.
Hahahaaaa!!!yaani miye hata sielewi hapo bichwa gumuuuu balaaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna issue moja hivi ya kitambo sana sasa najaribu kufikiria kama hiyo nyeusi ni code tunaifunguaje!

Halafu kama ni mawazo yangu basi ile ilikuwa story inayowasilisha uhalisia fulani.

Anyways ngoja niwaachie wenye mababe zao humu wapambane


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaahhh jamaa hata kama aliupata kwa njia gani ila kama anapitia huu uzi ajue kabisaa anachokifanya sio poa..

Just imagine humu hatujuani ndo kaweka malengo hayo je, kwa hawa wa mitaani inakuwaje na hizo pesa zake ???....

Na nyie wadada mambo ya kufuniliwafuniliwa kama vyoo cha public mtakuja kuponzwa na kuponza familia zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
87 Reactions
Reply
Back
Top Bottom