Wadada tuwe makini. Kuna member wa kiume anaambukiza HIV kwa makusudi huku Jamii Forums

Status
Not open for further replies.
Kuna issue moja hivi ya kitambo sana sasa najaribu kufikiria kama hiyo nyeusi ni code tunaifunguaje!

Halafu kama ni mawazo yangu basi ile ilikuwa story inayowasilisha uhalisia fulani.

Anyways ngoja niwaachie wenye mababe zao humu wapambane


Sent using Jamii Forums mobile app
Weee ....ulichokiwaza ndio hicho hicho!

Mawazo hayaendi mbali na ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tahadhari wana Jf.
Kuna member humu anaishi na virusi vya UKIMWI.
Na anaambukiza kwa makusudi.
Na target yake ni kuwaambukiza wadada wa Jf kwa kisingizio cha kuwatafutia kazi mkoa aliopo.
Ushahidi ninao.
Na member huyu anaitwa Nyeusi 20 (fungua code)
Ushahidi ninao kama kaathirika....
Na hata kama moderate watataka uthibitisho wa vyeti vyake (nilivipiga picha) nitaweka hapa.

Lengo sio kumuanika au kumnyanyapaa...lengo ni kuwapa tahadhari members wengine maana katika diary yake ameweke lengo la kuambukiza wadada 10 kutoka Jf.
(Modereta wakitaka pia screenshot za hio kurasa ya diary aliyoandika nitaiweka hapa au hata huko Pm kwao).
Kama kuna mtu anamjua huyu member au ashawahi kukutana nae live....NAOMBA AWE SHUHUDA WA AFYA YAKE (afya ya Nyeusi 20)

Atoae tahadhari, anawapenda wenzake.
Huyo member ana pesa sana na yuko tayari kukugharamia na kukupa hata milioni ilimradi atimize lengo lake.

Narudia tena.
Sina nia ya kumchafua mtu ila natoa tahadhari tu.
Muwe na asubuhi njema.
Nawapenda sana.
Wadada tamaa zitatuua....hasa kwa wapenda miteremko.
Inaonyesha dhahiri ulikua nae kwenye mahusiano, maana umetoa details za kutosha anyway hiyo siyo ishu sana, ishu hapa ilikuaje ukagundua ana virusi, what went wrong mkaanza kutofautiana na je wewe ameshakuambukiza are you victim kama ni hivyo una nafasi kumshtaki kwenye vyombo vya dola na ukaambatainisha na ushahidi maana imeshakua kesi ya jinai hiyo

Happiness is a lifestyle
 
Pole sana vipi na wewe kashakupa mkuu? Umewezaje kusoma diary yake bila kukutanua, umewezaje kupata vyeti vyake muhimu vya Afya yake bila kuwa mtu wa karibu kwake?

CC Zero IQ
Kama anatoa mpaka milioni hapo unaonaje?
Je kama na yeye ni muathirika na anataka apewe peke yake?
Binadamu wamo wa kila aina humu na wengi ni chui kwenye ngozi ya kondoo
Kwa kweli mitandaoni kuna mengi sana ya kujifunza maana unaanza kutambaa mpaka unatembea humu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kunashida mahali kama anafanya kusudi kwanini usiweke doc hadharani,umesema ushahidi unao halafu unaficha basi wewe ndio mwenye shida hapa sio yeye

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushahidi ni muhimu kweli aweke hapa, tutajuaje labda anataka tu kumchafulia jamaa, and what if jamaa akabadilisha ID si ataambukiza tu maana hizi allegations hizi hazimzui yeye kufanya tena na tena

Happiness is a lifestyle
 
Kama anatoa mpaka milioni hapo unaonaje?
Je kama na yeye ni muathirika na anataka apewe peke yake?
Binadamu wamo wa kila aina humu na wengi ni chui kwenye ngozi ya kondoo
Kwa kweli mitandaoni kuna mengi sana ya kujifunza maana unaanza kutambaa mpaka unatembea humu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Sana sana...na mitandaoni sio sehemu salama ya kukurupukia asee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom