Anza kutumia condom SasaDry zitatumaliza hizi jamani
Dry zitatumaliza hizi jamani
Anza kutumia condom Sasa
Kabisaa maana km na yeye ni mgonjwa huyo mdada umempa fursa mubasharaaa...hahaaqaKwa akili za wadada wa Bongo naowajua ni kama umewapa dili. Wengi wanawazaga pesa tu pasipo tahadhari. Jamaa ajiandae kuwapiga wengi zaidi na aje alipitie tangazo lake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi ipo kweli kweli!!Aweke docs ndio ushahidi aache kuwapa watu presha cz wengine humu wako na mamalai wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli na bila dry mautamu hauyafeel ahahahaah
Watu wanauchukulia pouw sana huu ugojwa. Hata waambiwe vipi hawaelewiKabisaa maana km na yeye ni mgonjwa huyo mdada umempa fursa mubasharaaa...hahaaqa
Sent using Jamii Forums mobile app