Ukitaka kujua tunavyopoteza pesa andika bei ya perfumes, viatu, handbags unaweza kuwa na milioni 5 - 10 ndani ambayo haikusaidii kimaisha.Huyu ni mimi. Na wakati mwingine najutia maisha niiyoishi shule. Kila siku na handbag yake. Viatu vingine unavaaa mara moja vinaharibikia ndani.
Nimekuja kuguta ikiwa sio too late. Nadhani pia kutokana na majukumu niliyo nayo katika umri wangu yananiweka kwenye mstari. Nikinunua handbag kama haijaharibika zip haitanunuliwa ingine.
Kupendeza sio lazima uwe na kitu kipya kila siku. Na hapo ndio wadada tunafeli. Ukikaka na kitu mwezi tu unakiona 'hudamshi' tena
Hatari kila handbag sh 50+elfu
Hahahah hili dongo mwehMimi ni mvivu wa hayo mavitu hata sinunuagi nna tupochi tuwili tu twa simu nyingine unaweza weka nguo mbili
Sinaga wazo la kununuani mtu anavyopenda tu nadhani
Shooga kujenga kazi ati
Aaah...!Ninayo moja
Haitawezekana. Hata kama umeolewa Khantwe,lakini kabla hujaolewa lazima uwaze/upende/utamani kuolewa na mwanaume wa aina fulani,mwenye mafanikio fulani. Hata kama hana kwa muda mnaoana,lakini lazima ufikirie awe na malengo fulani. Wanawake hivyo vitu lazima avioteMimi sijawahi kuota ndoto
Hiyo ndoto unayozungumzia ni tofauti na hii anayoongelea mtoa mada. Kwa maelezo yako hayo basi hakuna binadamu asiyeotaHaitawezekana. Hata kama umeolewa Khantwe,lakini kabla hujaolewa lazima uwaze/upende/utamani kuolewa na mwanaume wa aina fulani,mwenye mafanikio fulani. Hata kama hana kwa muda mnaoana,lakini lazima ufikirie awe na malengo fulani. Wanawake hivyo vitu lazima aviote
Ukinunua kiwanja kibaha wanakuambia mbona mbali, unajiuliza mbali na wapi? Wanataka viwanja posta na hela hawanaVery true
Mkuu sio kwa kunigusa hukoWengine hawana hizo perfume wala handbag wala hicho chumba na sebule wamechakaa na maendeleo hawana
Hahahah hili dongo mweh
Nina handbag nilinunua kwa shost toka may last year,nikalipa 70k kwa mpesa hadi leo sijaifata,kanikumbusha hadi kachoka
Ngoja kesho niipitie nikitoka kazini,huu ni uzembe wa hali ya juu walah
Cole Williams nakupinga kwa hili. Binadamu ili uwe na maendeleo unatakiwa kuwa na big expectation ktk maisha yako ili atakama utashindwa fikia malengo hayo angalau uishie sehemu nzuri ya malengo
Kumbe tunatakiwa tuwe na nini ndani ya hiyo miaka mitatu ?
Nilivyomuelewa mimi ni hivyo. Anamaanisha wapo wanawake wengi wanajisahau. Unakuta tokea yupo huko nyuma ana bahati ya kupata hela iwe ya kupewa na wazazi wake au njia anayoijua yeye. Sasa hizo hela badala ya kuzitumia kwa maendeleo kama biashara,au kujenga au kujiandalia maisha yake yeye baadae. Yeye hizo hela zinaishia kwenye matanuzi. Kwa kutegemea kwamba maisha yake ya mbele sio lazima aayaandae yeye,ila anaota hao wanaume watakaojenga maghorofa ndio size yake na ndio hawa wenye jukumu la maisha yake baadae.Hiyo ndoto unayozungumzia ni tofauti na hii anayoongelea mtoa mada. Kwa maelezo yako hayo basi hakuna binadamu asiyeota
Hahahahaha kwakweli kununua hayo makitu ni mtihani mie ninayo miwili tu na sidhani kama nna mpango wa kuongeza kwa sasa niko busy kutafuta pesa za msingi sio kuchezeaMimi ni mvivu wa hayo mavitu hata sinunuagi nna tupochi tuwili tu twa simu nyingine unaweza weka nguo mbili
Sinaga wazo la kununuani mtu anavyopenda tu nadhani
Shooga kujenga kazi ati
Umeanza kazi mjini mwaka wa tatu unaishi kwenye chumba na sebule. Chumbani una dressing table ina perfume kama zote kuanzia Coco Channel, Christian Dior, Estée Lauder nk, make up za MAC na Iman,
Handbags 20+ kuanzia Michael Kors, Calvin Klain, DKNY ec. Viatu pair 20+ kuanzia high heels, sandals, flats
Ni muumini wa da Mange kuwa utapata mwanaume mwenye pesa, anaejenga ghorofa Bagamoyo.
Unahitaji maombi uamke kutoka kwenye huo usingizi.