google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,868
na kofi moja zito la kurestore settings to factory settingsUmeanza kazi mjini mwaka wa tatu unaishi kwenye chumba na sebule. Chumbani una dressing table ina perfume kama zote kuanzia Coco Channel, Christian Dior, Estée Lauder nk, make up za MAC na Iman,
Handbags 20+ kuanzia Michael Kors, Calvin Klain, DKNY ec. Viatu pair 20+ kuanzia high heels, sandals, flats
Ni muumini wa da Mange kuwa utapata mwanaume mwenye pesa, anaejenga ghorofa Bagamoyo.
Unahitaji maombi uamke kutoka kwenye huo usingizi.
Ongezea na hili... ana tatto sehemu hatarishi... kiasi kwamba inampasa muda mote ake mikao ya hasara hasara ili tatto zake ziweze kuonekana...
Hawatakuelewa... sababu binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Cc: mahondaw
Leo weekend wameenda kudamshi ngoja warudi
Kumbe tunatakiwa tuwe na nini ndani ya hiyo miaka mitatu ?
eti mikao ya hasara
hahahaa ...inasikitisha atiiOngezea na hili... ana tatto sehemu hatarishi... kiasi kwamba inampasa muda mote ake mikao ya hasara hasara ili tatto zake ziweze kuonekana...
Hawatakuelewa... sababu binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Cc: mahondaw
hapo chachaaaKujenga siwezi hata kudamshi???
Handbag 20? Kweli maisha haya...!
Hakuna limit lakini fanya efforts za kuondoka, hata ikiwa chumba na sebule kwenye kiwanja chako si mbaya. Ukimpata mwenye ghorofa unapangisha
Hata kiwanja na msingi kuolewa kuna wenyewe shogaKumbe tunatakiwa tuwe na nini ndani ya hiyo miaka mitatu ?
Hata kama unaishi kwenye chumba na sebule lakini una kiwanja nje ya mji si mbaya. Ukitumbuliwa una pa kuanziatutajitahidi dada mkubwa kujenga sio kazi ngumu tatizo viwanja milion kadhaa otherwise ujenge nje ya mji kazi unafanya town
walai nikimpata mke wa dizaini hiiii hata kama akiwa dini ya Mtume nani sijui nabadilisha namuoa...Hawapo wanawake wa hivyo siku hizi yani asubiri mpk nguo/pochi iishe ndo anunue ingine? HawapoHiyo miaka unapigana kuachana na maisha ya kwenye chumba. Hand bags tatu zinatosha, moja ya night out, moja ya kazini na mojavya kanisani. Ikiwezekana ya kazini na kanisani hiyo hiyo mpaka iharibike zipu.