Wadada tusilazimishe ndoa

Kumbe! kwa hiyo kazi ingekuwa si nzuri jamaa asingesumbuliwa na nyimbo za ndoa kila siku.😀
anasumbuliwaje sasa si unaona hapo ameshasema ana maisha mazuri ana kila kitu
 
hapa kuna cha kujifunza sana
 
Mwanakondoo wangu ohh mahubiri yangu pale kanisani yamekujenge sana mpaka umekua na maneno ya busara na hekima upo juu, ila ongeza kasi ya kutoa sadaka hapo tu ndiyo unapo haribu.
mmh baba paroko kwani mm sina busara sadaka nikiwa nayo nitatoa tu we nivumilie hivi kuja bila sadaka

Cc sakayo ukuje umuone baba paroko leo kaibuka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…