Wadada tusilazimishe ndoa

Tena kujipanga nineno pana sanaa, waweza kua juu kiuchumi ila hujajipanga ki saikolojia na ki akimawazo (utayari)
Marriage is readiness.


[emoji106]
Kuna haya mawazo kuwa mwanaume ukishafanisha basic needs kimaisha basi uko tayari kuoa. Tena unaulizwa kabisa, sasa unaoa lini?
Wanasahau kuna kutulia kiakili pia.
 
Kidogo watie moyo wenzio sio wakiona sofa na kitanda wanajua ndo mwanaume umeshajipanga.
 
Swala la kuoa/kukuoa nila mwanaume mdada hupaswi kabisa kugusia wala kumwambia, ni wewe kuangalia upepo kama unaona haeleweki unachapa mwendo.
 
Jaman wadada kuwa vzr kiuchumi sio ndio tayar kuoa, hayo maswal yanatuchosha mtaan yaani kila KE ukimgusia tu unasikia unamalengo gani na mm. Sasa kwan kila KE ataolewa? Wengine watabaki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…