Wadada tusilazimishe ndoa

Huwez kumlazimisha akuoe kama hana Nia ya kukuoa yawezekana anania ya kufanya mapenzi halafu akuache
 
Hatua ya uchumba mpaka kuoana ina mambo mengi ambayo ni matarajio ya kila mmoja Hivyo kama ndoa ipo itakuwepo kama haipo mtu ajipange kivingine ndoa haipaswi kulazimisha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…