Wadada tusilazimishe ndoa

wewe unafikiri Manga kungangana kwenye uzi mmoja hana akili
hahahahhah yaan apa ndio nimeona umuhimu wake ila nimemmiss sijui ndio kasusa naonanga notificafion zake za like
 
hahahahhah yaan apa ndio nimeona umuhimu wake ila nimemmiss sijui ndio kasusa naonanga notificafion zake za like
Yupo vipi unataka kumpa jibu lake nimwite kaka yangu.
 
Kwani bibi na wewe ulikula ban.

Nyie mmeshazeeka lakini hata mkipumzishwa hamna shida.
hahahah tulikula nae wote tulikua kwenye huo uzi bonny kasema harudi leo wala kesho
 
sijui kwa nini jamii yetu hasa wanawake wanaamini mwanaume kuwa na kazi basi kashafikia vigezo vya kuoa,kazi sio eternal kesho inaweza kusepa tukiwa tayari kwenye ndoa,utafanyaje na ww utasepa kwa sababu kigezo(kazi) chako kishasepa......marriage is made in heaven.
 
Ana haraka ya kumpikia jamaa teh teh teh

Ndoa ni bahati na ndoa ni akili yako ndiyo ina weza kukupa ndoa sasa wengine hua wanajiona kama wako salama kabisa na hujiona kama hawana kasoro

unaweza ukawa na muonekano mzuri na unajituma kuujenga Huyo uhusiano na bado ukawa na kasoro ,
kasoro sio lazima iwe ya muonekano mtu unaweza ukawa na akili ya udhaifu ambayo inaweza kumpa jamaa damage kwahyo kaeni msubiri ndoa sisi bado tunajipanga mpaka muondoe hizo akili ndogondogo

kama uko tayari na unajiona uko na akili iliyo salama njoo dm nikupe mbinu ili uolewe
 
weka hapa hizo mbinu wengi tunufaike pm vipiiiiiii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…