Wadada tupewe maua yetu!!

Ukishakua mzazi muda wote roho inakua juu sababu ya mtoto.
Kipindi ambacho unatarajia kesi za hapa na pale, kijana kakutwa na binti wa nyumba mtaa wa tatu, badala yake kijana anajivunia kuwa mdada? 😫
 
Kipindi ambacho unatarajia kesi za hapa na pale, kijana kakutwa na binti wa nyumba mtaa wa tatu, badala yake kijana anajivunia kuwa mdada? 😫
Tatizo wazazi wanakuaga wa mwisho kujua uharibifu uliopo kwa watoto wao.

Mtoto ashafanya uovu kakubuhu ndo mzazi unakuja kushtuka.
 
Mwambie huyo choko ndiyo akaze wanaume wenzie wanasimamia kucha wanakaza kalio yeye ananilegeza

Umesema mwenzetu huyo 😳😳
Na wewe ukiwemo 😲😲
Aisee🤣🤣 sasa si ndio ila kasha left group na kawa wenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…