masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,796
- 16,768
kwani yapi yamekusibu rafiki?kwa kuwa bado nampenda namuombea mungu iko siku atapata nafasi katika moyo wake na kunisamehe
naamini hilo hata upite muda gani nazidi kuamini kama mungu aliniotesha nikiwa mdogo sura yake leo hii kitu gani kinitenganishe nae so naomba mungu
Jamani inategemea na kosa lenyewe na how many times mtu analirudia. Mfano:
Issue serious kama mumeo ana mchepuko na umejua sidhani kama ni rahisi kumwambia na mkamalizia na tendo. Hii inahitaji mkwala wa nguvu...Na kuonyesha umemaanisha ulichokisema ikibidi kununa.
Kuna zile issue za kawaida ila mwingine unamwambia mi sipendi hivi ila anachukulia poa anarudia tena na tena. Mie huwa naandika... lol naandika barua haswaaa naeleza yale yaliyo moyoni mwangu tukiwa kitandani namkabidhi akimaliza lazima aichane. Written method inanisaidia kueleza bila interruption kwa hiyo mtu anaweza akapata point ya nnachosema. Ubaya ni kwamba kuandika kunataka uongee facts tu na si matusi, kejeli etc maana ile ni evidence tosha aki share na mtu si nzuri (muhimu kuichana afterwards).
Ikishindikana huwa I try and change my strategy mfano kama ni kuiongelea hiyo issue siiongelei tena, kama kanuna na ana expect ninune mi naongea kama kawaida mpaka anajiuliza kulikoni mbona umebadilika.
Mwisho wa yote kumaliza ugomvi kwa chakula cha usiku ni kuzuri ila wanaume wengine hakiamki akiwa kanuna ana nuna mpaka huko lol
kwa kuwa bado nampenda namuombea mungu iko siku atapata nafasi katika moyo wake na kunisamehe
naamini hilo hata upite muda gani nazidi kuamini kama mungu aliniotesha nikiwa mdogo sura yake leo hii kitu gani kinitenganishe nae so naomba mungu
Nimependa jinsi unavyochukua muda na kujipa kipaumbele mahitaji yako venine,watu wakifata msimamo kama wako,utapunguza mifarakano mingi midogo midogo.Ni njia nzuri ya kupunguza hasira kufanya kitu tofauti kwaajili yako tu,upate muda wa kutafakari na kusahau yalojiri.kununa, kuzira, kulia, kuongea naye kwa hasira (kwa utulivu siwezi kama nimechukia) vyote naona haviwork. nishafanya sana hayo na bado haachi kuniudhi, nimeamua kufanya yangu tu. Mtu akinikera najipoza kwa kujipa treatment nzuri mi mwenyewe. Navaa napendeza haswa naenda outing with friends, au naenda shopping siku nzima kama ni weekend, hapo na yeye atanuna tu
kama nimekereka sana (kupita kiasi) na nina muda (kazi za ofc hazinibani) huwa naamua kusafiri kabisa nje ya mji, baadae lazima atapiga kuomba msamaha. kama vyote haviwezekani, kununa kwangu ni kushinda/ kukesha mtandaoni
Mimi Hubby wangu huwa namviziaga usiku anakuwaga mpole sana hata kama alinikwaza mchana,nauchuna wala simuonyeshi tofauti yoyote!!..mara nyingi mchana anakuwa bize na kazi usiku napata wasaa mzuri na yeye,.wakati tunabembelezana namwambia kwa lugha ya kitandani tena tamu na hivi sauti yangu ugonjwa wake..."mme wangu mpenzi,laazizi ...,sakafu wa moyo wangu,mchana ulifanya hivi sikupenda honey,nimekusamehe!, naomba isijirudie tena kipenzi changu".anaelewa tu!
mpitie ukiwa kama ulivyozaliwa, utaona tu yatakwisha, ni upepo tu, chejea papuchi
mimi bingwa wa kununa ingawa mume wangu wala hana maudhi ila nikiona mwezi mmzima umepita sijanuna natafuta sababu ya kununa ili nibembelezwe tuu
Namtu wa sifa kama zako!
ha ha ha kuna watu wagomvi lol…au ndo unapenda attention?mimi bingwa wa kununa ingawa mume wangu wala hana maudhi ila nikiona mwezi mmzima umepita sijanuna natafuta sababu ya kununa ili nibembelezwe tuu
ha ha ha kuna watu wagomvi lol…au ndo unapenda attention?
yaani we acha tuu nikiona nimenuna saana naenda chumbani nacheka wee akitokea tuu nalamba ndimu, namshukuru Mungu kwa kunipa mwanaume mpoleee