Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,208
- 64,298
Njoo tuanze upya..! Maana nimeanguka ndiyo nasimama upya..!Kwa umri wangu na lifestyle yangu kumpata anaeanza kutafuta sio rahisi.. Acha niendelee kuwashikilia tu hawa ambao wameshaanza kupiga hatua tayari maana hamna jinsi nitakutana na mwanaume anaanza moja kabisa labda awe amefilisika.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]...mbavu sina!Kwa umri wangu na lifestyle yangu kumpata anaeanza kutafuta sio rahisi.. Acha niendelee kuwashikilia tu hawa ambao wameshaanza kupiga hatua tayari maana hamna jinsi nitakutana na mwanaume anaanza moja kabisa labda awe amefilisika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nae huyoUzi wa pili huu
Sawa mkuu wacha nimn'gan'ganie huyu choka mbaya wangu.
Toka lini kipofu akamuongoza kipofu mwenzake?Kwa umri wangu na lifestyle yangu kumpata anaeanza kutafuta sio rahisi.. Acha niendelee kuwashikilia tu hawa ambao wameshaanza kupiga hatua tayari maana hamna jinsi nitakutana na mwanaume anaanza moja kabisa labda awe amefilisika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina shida .....ngoja itokee halafu ajichangane anabatizwa siku si zake
Ndioooooooooo nakazia hapa kwa misumariToka lini kipofu akamuongoza kipofu mwenzake?
Mwaya usikubali mwanaume choka mbaya.
Atakuambukiza hali yake mbaya
Umaskini ni matokeo ya uvivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaa na watu wenye pesa upate pesa.
Na fursa zote duniani mwanaume anakuaje chokambaya? Mvivu huyo achana naeHahahahahahhahahaahaha
Yaani unapiga goti kumuombea mtu.wewe ya kwako kwa mungu yamekamilika? Girl love yourself.Sio kumtengeneza tuu,.na kumuombea pia kama unampenda kweli,unadhani ni wote unaoanza nao from zero to hero wanabaki vilevile[emoji2]??wengine wanabadilika wakishakua ma hero lol..
Wewe hujui kuwa hata hapo ulipofika ni kwa neema tuu,tena unastawi pengine kwa maombi ya hata usio wajua ukiachia wazazi wako..Yaani unapiga goti kumuombea mtu.wewe ya kwako kwa mungu yamekamilika? Girl love yourself.
Mungu naomba anifanye tajiri sio aniletee mwanaume tajiri. Kwanini mafanikio yangu yapitie kwa mwanaume?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo anakua ameisha tengenezwa na mtu na wewe unaenda kutafuta nini hapoKwa umri wangu na lifestyle yangu kumpata anaeanza kutafuta sio rahisi.. Acha niendelee kuwashikilia tu hawa ambao wameshaanza kupiga hatua tayari maana hamna jinsi nitakutana na mwanaume anaanza moja kabisa labda awe amefilisika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Je ikitokea na wewe umemaliza kusomeshwa then unaamua kumuacha,je anaruhusiwa kukuuwa?Nilijua tuumbe watu kumbe tuanze nao chini mpaka juuu!!???
Sawa sio tatizo .....ila kuna kale katabia akifika juu anakwambia haukua type yangu analeta chuma kikaliiii then wewe mtafutaji unatimuliwa .....je ikitokea hivyo naruhusiwa kumuua huyo mtu au siruhusiwi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna neno moja umelitumia kuna mtu nilisomaga nae sjut alikua anapenda sana kulitumia ulisoma dom?Mambo iko pooa,.
Hapana,.ila nimeishi kidogo DomKuna neno moja umelitumia kuna mtu nilisomaga nae sjut alikua anapenda sana kulitumia ulisoma dom?