- Thread starter
- #41
mkuu wanawake ni mtihani japo tunawahtaj sana kama sehem ya maisha yetuMungu atusaidie tu vijana, kuna kipindi nilienda Moshi kusalimia nikakuta binti mmoja wa jirani anakesi na mama yake mzazi, kapewa mimba na mzee wa hapo mtaani ili kuepusha aibu ikabidi ile mimba abambikiwe kijana ambae alikua na mahusiano naye na kijana uyo akaja kuoana na uyo msichana na sasaivi wana watoto 3, jamaa anajua watoto wote ni damu yake, huwa namtazama mshkaji namuonea huruma kila nikienda Moshi.