- Thread starter
- #21
19
19
mkuu unashangaa akati wengi ndo mlivyo, tunalea tukijua ni wetu kumbe mtihani mtupu.Aisee!
Sema Tu ni.mke wako na WEWE ndio muhanga mwenyewe.Huyu dada ni mtoto wa ma mkubwa, after kuolewa alibahatika kupata watoto 4.
Sie tulijua watoto wote ni wamumewe kumbe hapana, haya yalibainika baada yakua na ugomvi ulopelekea kumwambia mumewe kua watoto 3 si wake na atawapeleka kwa baba zao.
Mumewe aliridhia bt watoto waligoma wakamwambia wao wanamjua huyo ndo baba yao na hawaendi popote.
Tangu hapo dada amekosa maelewano na wanae na amekua mtu wakutanga tanga tu, anakua anasema atawalaani wanae coz hawamsikilizi akati kosa ni lake mwenyewe
Nawashauri wadada mkichepuka mkiwa ktk ndoa muwe makini msijevuruga familia zenu mkakosa msaada bure.
Wengi kina nani eti mkuu!mkuu unashangaa akati wengi ndo mlivyo, tunalea tukijua ni wetu kumbe mtihani mtupu.
wanawake mkuuWengi kina nani eti mkuu!
mkuu mimi nikifanyiwa hivo nafia jelaSema Tu ni.mke wako na WEWE ndio muhanga mwenyewe.
Huyo Mwanamke NI mshenzi Sana
Wanawake hawatabiriki mkuu usiseme hivyo.mkuu mimi nikifanyiwa hivo nafia jela
mkuu we hutaoa?
mkuu upo kama mimiNampongeza jamaa kwa kulipokea ilo swala maana tungekuwa wengine tunge nunua gunia 2 fasta za mkaa hakuna muda wa kupoteza.
Haya mkuuwanawake mkuu
Dah! Kuoa tunataka ila matukio kama haya, yanakatisha tamaa!Huyu dada ni mtoto wa ma mkubwa, after kuolewa alibahatika kupata watoto 4.
Sie tulijua watoto wote ni wamumewe kumbe hapana, haya yalibainika baada yakua na ugomvi ulopelekea kumwambia mumewe kua watoto 3 si wake na atawapeleka kwa baba zao.
Mumewe aliridhia bt watoto waligoma wakamwambia wao wanamjua huyo ndo baba yao na hawaendi popote.
Tangu hapo dada amekosa maelewano na wanae na amekua mtu wakutanga tanga tu, anakua anasema atawalaani wanae coz hawamsikilizi akati kosa ni lake mwenyewe
Nawashauri wadada mkichepuka mkiwa ktk ndoa muwe makini msijevuruga familia zenu mkakosa msaada bure.
karibu nusu ya wanandoa wanabambikiwa watoto, nakumbuka nikiwa o' level kuna rafiki angu aliacha kusomeshwa na babake baada yakuambiwa si mwanae japo ukiwatizama wanafanana kila kitu na huyo babaKuchepuka sio inshu sana maana anakuwa anatafuta mapigo tofauti,tatizo ni kupata ujauzito huko anapochepukia