PRINCE PRIS
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 347
- 587
Wanawake wamezidiSikuhizi hasa kwenye usafiri Wa uma si wanawake wala wanaume wote wakipata siti MTU anajisachi nakushikilia Simu yake ....
Kuolewa sheriaPunguza munkari mkuu, siku hizi si wanaume si wanawake wote wapo busy na simu!! Halafu kwani kuolewa lazima.
Una visa tu na wanawakeWanawake wamezidi
Sina visa naoUna visa tu na wanawake
We unasema binti, mbona ndo imekuwa kazi kwa wanawake waliolewa kiasi kwamba wanasahau hadi majukumu yao. Kuna hatari hizi smartphone zikajavunja ndoa sana tuendako.Niaje wakuu
Jamani hizi smartphone zinaharibu watu jamani ngoja leo povu linitoke unakuta binti mzuri anashindwa kusalimia watu kisa tu yuko bize na simu yake may be yuko insta snap au whatsapp hata ukimsalimia hakuitikii sijui ndo mashauzi au ulimbukeni alafu unakuta binti analalamika cjui nimelogwa kwanini sipati mwanaume wa kunioa hivi mnafikiri wanaume wakuoa wanapatika insta au wasup wanaume wa kuoa ndo hao mnaopishana nao kila siku kwenye daladala na mizunguko ya kila alafu mnajifanya mko bize na masimu yenu
Hamna kilichonikutaNini kimekukuta ndugu?