Wadada 'smart' mna gharama sana

Utazunguka bucha zote kusaka nyama nzuri, lakini nyama ni ile ile (ingawa kuna utofauti wa nyama buchani).
 
Hivi wale wa mmekutana leo umeomba namba na kama kesho simu yake ni mbovu, kesho kutwa nywele zimefumuka, hujakaa sawa ana birthday wiki hiyo hiyo, hujatulia tayari anamsindikiza rafiki yake kuona mgonjwa hivo utume nauli, hujatulia mara kaomba kifurushi cha internet hivi hawa ndio wanaitwa smart lion, au ni wadangaji tu ?
 
Ulishawahi kukutana na kifaa, ukahisi labda ameshushwa toka mbinguni?
 
Kuna mawili wewe ni "either" mpumbavu au huna akili.......unashindwaje kuelewa maana ya neno "smart"........hadi kulifananisha na hulka za wanawake wanaojiuza?
Smart in appearance
 
Usmart wa mwili, ndio kivutio kizuri kwa mwekezaji
Kama wa mwili sawa, ila ukitaka hufurahie maisha ya ndoa, oa mwanamke ambaye ana usmart wa akili, ukioa hao wenye usmart wa mwili unajitengenezea kijehanum chako hapa hapa duniani.
 
Kama wa mwili sawa, ila ukitaka hufurahie maisha ya ndoa, oa mwanamke ambaye ana usmart wa akili, ukioa hao wenye usmart wa mwili unajitengenezea kijehanum chako hapa hapa duniani.
Kila kitu kina umuhimu wake; nafsi ikifurahi ni muhimu zaidi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka km mwehu lol.
 
Kila kitu kina umuhimu wake; nafsi ikifurahi ni muhimu zaidi
Hivi ushajiuliza kuna wanaume kibao wake zao wazuri sura ,wana mishepu ya haja lkn nyumba ndogo anayoishi nayo ya kawaida.

Kuna kipindi kwenye ndoa unahitaji kufocus na mambo ya familia, kila senti itumike kwenye kujenga familia na mahitaji yake na kuna kipindi tena vile vigumu lazima mjitoe sadaka kwa ajili ya familia na hapo ndipo akili inapotumika.

Ila si shangai kila mtu na type yake,may be unazo hela za mchezo.
 
Ukichunguza sana, rika ambalo uchumi unakuwa umetulia, ndio uanza kutafuta wale watu waliokuwa wakiwatamani, kipindi ambacho uchumi haukuwa vizuri.
 
Ukichunguza sana, rika ambalo uchumi unakuwa umetulia, ndio uanza kutafuta wale watu waliokuwa wakiwatamani, kipindi ambacho uchumi haukuwa vizuri.
Sijui kwako mimi kwa mazingira niliyo ambayo yame nikuza, kuna kikundi fulani ya mabrothers zangu wa mtaa, wapo kama kumi hivi walikuwa na timu yao ya basketball.

Jamaa walikuwa malaya, wanagonga mademu wakali mpaka wanaingia chuoni, jamaa wanabadilisha visu vya hatari. Sasa hivi wote wana familia zao 80% wameoa wanawake wa kawaida. So kutokana na maisha yao kuna kitu kikubwa nimejifunza sana, halafu wale mademu waliokuwa wakitembea nao zamani naweza ikasema kwa sasa wengi ni single mother, kwani kipindi hiko sisi ndio tuliokuwa tukitumwaga viepe.

Ila husini quote vibaya sijasema wanawake wenye husmart wa mwili hawanaga akili, ila mara nyingi mademu ambao wenye usmart wa mwili hawafai kufanya nao maisha. Ila kama umeamua sawa chaguo ni lako na maisha ni yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…