Wadada, njooni tufundishane usafi

housegirl

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
3,125
Reaction score
2,194
QUOTED

5) Usitumie toilet paper karibu na uke. Kama utatumia tissue kujifutia ukitoka haja ndogo jitahidi isiguse uke. Tissue zimetengezwa na recyclable materials, ni uchafu..

10) Kama unahitaji daktari wa wanawake, kwa hapa Dar I suggest Dr. Shafiq wa Agha Khan. Ni rafiki sana.
 
Kwa msisitizo:
Wadada/Wanawake wengi wanalalamika kuhusu kuwashwa ukeni au kutokwa na ute mzito unaonuka,
Wanatumia dawa nyingi inapoa lakin inarudi,
Je unajua tatizo hasa hua ni nini?


Ukienda chooni kupata haja kubwa wakati wa kunawa mkono hua unaweka kwa mbele,
Kwa kufanya hivyo unakua unatoa uchafu wa nyuma unapeleka mbele,
Ndio unakuta tatizo haliishi, waumwa weeee na huponi,

Ukinawa plz km ni haja kubwa basi mkono pitisha kwa nyuma, hakikisha uke huushiki kbs,
Kama ni mkojo pitisha kwa mbele hakikisha mkono haufiki nyuma.

Shukrani.
 
Tembea na hand sanitizer ukitoka huko public toilets hakuna sabuni..unajisafisha nayo mikono kuepuka kucontaminate mikono yako au kunukia harufu mbaya

Vile vile kwa vyoo vya public kojoa huku umesimama umeinama kidogo na kutanua miguu..usichuchumae kwenye public toilets ndo uti zisizoisha zinapatikana huko

Baada ya mtu wako kukumwagia manii zake nenda kaoshe vagina as soon as possible usilale nazo.
 
Hiyo namba tisa mimi kwangu ngumu aisee japo naanza kufanya zoezi...naweza nisijifunike sehemu zingine nikawa mtupu ila bila chupi aisee ngum sana
 
Hiyo namba tisa mimi kwangu ngumu aisee japo naanza kufanya zoezi...naweza nisijifunike sehemu zingine nikawa mtupu ila bila chupi aisee ngum sana

Unaogopa popobawa! Hahahaaaaa
 
huku uporoto mbeya mademu wakimaliza kunya wanaondoka hakuna kunawa mpaka jumapili siku ya kuoga.... hakuna cha uti wala nini
 
Namba tisa sawa siku za kawaida je siku atumikiazo atalala na nn?? Kuchange nguo ya ndani kwa wakat na kingine pads hakikisha unabadili usikae nalo masaa kibao unakaribisha magonjwa
 
Hiyo namba tisa mimi kwangu ngumu aisee japo naanza kufanya zoezi...naweza nisijifunike sehemu zingine nikawa mtupu ila bila chupi aisee ngum sana


My dear mazoea Yana tabu Sana if umeolewa kulala na nguo ya ndani ni mwiko labda iwe uko mwezini unatumikia.
 
Kwenye handbag uwe na wet wipes, hand sanitizer, body splash/spray.

Ukikojoa usiachie mkojo kuruka kwa spidi kali, utakurudia mwilini.
 
Oooh darasa zuri nimepata kitu jaman endeleeni kuchangia tujifunze zaidi hii ndo raha ya jf
 
Namba tisa sawa siku za kawaida je siku atumikiazo atalala na nn?? Kuchange nguo ya ndani kwa wakat na kingine pads hakikisha unabadili usikae nalo masaa kibao unakaribisha magonjwa

Kiafya masaa mangap madame
 
ukiona nyapu inatoa harufu sana tumia sabuni ya chooni ndiyo kiboko yake!
 

Wanawake wanapata UTI kwa style hyo ya kuwatoa E.coli nyuma kuwaingiza mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…