ericmassawe
Member
- Apr 15, 2015
- 12
- 0
Dada una mada nxur sana
Mm nnatatizo sishiki mimba je unanisaidiaje lkn nimewai kuzaa 2007
Ni cosmetics zipi naweza tumia ili niweze kuwa na rangi moja mwili mzima.? maana jua kali limenitofautisha rangi mwilin.
Nimekufatilia kwa muda katk uzi wako huu na hakika unastahil pongezi! mm ni me lakn nafikir unaweza kunisaidia pia kwenye tatizo langu. FUNGUSI ZA MIGUU! Nikivua kiatu hata nzi anakufa! Nitumie dawa gani kwa matokeo ya haraka?
Mm nnatatizo sishiki mimba je unanisaidiaje lkn nimewai kuzaa 2007