Wadada: Nisaidieni mganga wa kienyeji, hali yangu tete in case mnantakia mema

Dada Marytina umesema hapo juu kuwa anakufaa,dada yangu tambua anaekufaa hawezi kukuweka kwenye imposible situation kama aliyokusababishia huyo,hiyo ni ishara kuwa hakufai na ulikuwa unajidanganya kujieleza hivyo,acha muda uzungumze kwani muda huwa hausemi uongo!Shukuru Mungu ameonesha tabia yake halisi kabla hamjaingia kwenye ndoa!
Ananifaa sema huyu Mmasai wa marekani anajiachia mno mpaka nakereka
Offcourse time will tell
 
kweli huyu hunitibia moyo wangu ila naona kuna mtu anataka ninyima access kwa huyu mtu.

pls mimi nataka mchapa vibuyu niko serious naumia sana mtu kaja huko juzijuzi anitoe

This is criaz

Mimi ni mganga, japo situmii vibuyu. PM me as soon as possible...
 
Nimejaribu sana kumwelekeza ananiambia no hidden agenda ila hata kama kusoma hujui picha ya mgombea unashindwa kuitambua?Uchawi only once in my life hautaadhiri the whole mkondo wa maisha
believe me utampata kwa leo lakini kesho na keshokutwa uamuona hafai tena sababu baadhi ya madawa yana athiri mpaka maisha ya mtu kwa sababu utaroga hisia na huenda ukaharibu kila kitu na mtu wako akabaki kama zezeta utampenda tena?
 
Achana na mawazo hayo ya kutafuta mchawi, kaa na huyo BF wako muyaweke mambo sawa............sema nae!!!
 
kama umeshindwa kutambua kuwa Yesu ndiye mganga wa kweli basi mtafute mganga mmoja hivi ana tunguli za gold na anavaa hirizi za gold zenye kidani cha tanzanite, anaitwa bujibuji anaroga, anapiga ramli, anaweka tego, BF wako akienda kunjunji na Mmasai wake wananasana hadi wewe ukawabandue.
Tuma fasta hela kwenye m-pesa ili upate huduma sasa hivi
 
believe me utampata kwa leo lakini kesho na keshokutwa uamuona hafai tena sababu baadhi ya madawa yana athiri mpaka maisha ya mtu kwa sababu utaroga hisia na huenda ukaharibu kila kitu na mtu wako akabaki kama zezeta utampenda tena?
hiki ndicho kinachonitisha ila no way
 
kama umeshindwa kutambua kuwa Yesu ndiye mganga wa kweli basi mtafute mganga mmoja hivi ana tunguli za gold na anavaa hirizi za gold zenye kidani cha tanzanite, anaitwa bujibuji anaroga, anapiga ramli, anaweka tego, BF wako akienda kunjunji na Mmasai wake wananasana hadi wewe ukawabandue.
Tuma fasta hela kwenye m-pesa ili upate huduma sasa hivi
unatumia matatizo yangu kujipigia promo wewe wa ajabu
 
Wewe Marytina, unakoelekea utakuwa mke wa huyo mganga utakayemuendea au asipokufanya mkewe lazima akutafune. Mimi nilishakuambia mmasai hakutaki ndio maana hataki kwenda na wewe gesti, hukunielewa, lol! Unataka kumwendea mlokole kwa mganga wa vibuyu thio!
 
kuna mganga mmoja(sijui kama yuko hai)enzi hizo alikuwa bagamoyo anaitwa AINEAINE,huyu vitu kama scholarship,kesi kufutwa,kupoteza mashahidi na hata kuwapumbaza british and america embassy officers kukupa visa ilikuwa mchezo mdogo sana,kwenye masuala ya mapenzi hela una mpa baada ya kazi kufanikiwa-mtafute huyo ata ku sort out.
 
Wewe Marytina, unakoelekea utakuwa mke wa huyo mganga utakayemuendea au asipokufanya mkewe lazima akutafune. Mimi nilishakuambia mmasai hakutaki ndio maana hataki kwenda na wewe gesti, hukunielewa, lol! Unataka kumwendea mlokole kwa mganga wa vibuyu thio!
Hii post inauma itabidi jioni nipitie zahanati nipate dawa
 
Back
Top Bottom