Wadada: Nisaidieni mganga wa kienyeji, hali yangu tete in case mnantakia mema

i will let nature to take its course kwa mambo au mtu mwingine lakini sio huyo.
This Man ananifaa sana na sikuwazia kuna kipindi nitajikuta kwenye hali hii.
Akipeperuka itakuwa ni biggest loose ever in my life

duh kweli kizunguzungu mapenzi...komaa tu na wala usitishwe na kusoma america...
 
Dont make your trouble worse than it is by doing foolish things. 1: U dont trust yourself. 2: hujikubali mwenyewe kuanzia uzuri na elimu yako unayoiiita mwenyewe ya mashaka. Unategemea unapojikataa nani atoke huko mbagala kuja kukukubali. you have no confidence, unataka kua mchawi mapema hivi kisa mwanaume,ukizeeka si ndo utakutwa kwenye paa unawanga. Umeshindwa kua mbunifu kabisa umrudishe mpezi kwako, unataka mganga akusaidie? Kweli nyie ndo hua mnaishia kuolewa na waganga wa kienyeji, BADILIKA KUWAZA KWAKO, UBADILIKE KUISHI KWAKO,Shame on you.
 
Maumshika nimependa mawazo yako lakini umetumia lugha kali sana,watu wa aina hii ili wakuelewe inatakiwa uwaambie kwa upendo!
 
Maumshika nimependa mawazo yako lakini umetumia lugha kali sana,watu wa aina hii ili wakuelewe inatakiwa uwaambie kwa upendo!
Yani anisamehe tu ila mi kanisikitisha na uoga wake, kwanini hajiamini, ua ana dhani mapenzi ni elimu na uzuri tu? wameshamsoma wakamwona hajiamini ndo maana hata huyo mdada hamuogopi, angetakiwa kua na msimamo tu hata huyo kaka angemuheshim, ukute hua analalamika kwakua elimu yangu yakuunga ndo maana hunipendi.
 
Marytina mdogo wangu. Lemme tell u a thing or two!
1: hivi inafaraja gani kujua somebody love u kwakuwa ulimuwekea dawa? Just incase umempata huyo mganga na ukafanikiwa; unless ndoa kwako equals security na si love!
2: nani kasema love is caused by outside beauty au education? Aside from huyo mmsaai; hakuna wasichana wengine ambao wewe unawaona wazuri? Did he go for them?

Have confidence; uzuri ni zaidi ya muonekano wa nje! Usijishushe, jinsi ulivyo wewe HAKUNA mtu mwingine duniani kama wewe! Na amekupenda wewe, why being insecure? Hujui tu lakini una uzuri wa kuzidi, both inside n outside; l like ur sense of humor kwa kusoma tu post zako. Love urself n u will reflect love around u.

Achana na hizo imani! Akikuacha; it is his big loss, n to u it is not the end of the world n who knows, u will get a far super hundsome n caring man one of these days!
 
Mweleze BF wako hupendezwi na tabia yake ya kuambatana ambatana na huyo mwanamke msomi, mwambie ukweli kuwa amepunguza mapenz kwako na mtake ajirekebishe. Mdomo wako na ushawishi wako ndio mganga wako. Pole kwa hofu na panic mrembo!
 
BF wako mwenyewe ndio mganga wako wa kienyeji

hahahhahah...... huyu hawezi kuwa mganga wake maana naye ni mlengwa wa hiyo ndumba!

Mtaka ushauri.... sidhani uganga utakupa suluhisho zuri la kudumu. Kwani huyo BF ni lazima uwe naye yeye? Kama ni mtu kigeugeu haina haja kumhangaikia sana hadi utafute nguvu za giza.Jikite kwenye nuru zaidi utampata anayekufaa. Ujue dawa za ushirikina siyo kitu cha kutumainia.Mwishowe utakuja kujuta. Itakuwaje kama utakuja kuamua huyo BF hakufai na hapohapo ushamzindika kwa ndumba na hataki kukuacha?
 
lemme b honest with u,shit happens i say dat in xperience (dnt ask me hw)...lack of self-confidenc in girls/women z wat breaks their relationships,they dnt knw dat da one responcbo 4 kipng a strong relatioship z God togeza with themselves!n u myt b among them..amma ask u s'thing,did God send an angel hu told u dat ur bf z gonna marry u?im nt trying to tell u dat he's nt gonna marry u,bt i wanna show u dat nt ol things dat we want in lyf cam as we want!try 2 tel hm,dnt 4gt 2 involve God in dic!he was a choir-master znt it?so,he z an ambassador of God,tell God 2 save Him...dnt eva dare kwenda kwa mganga,he z gonna add more problems in ur lyf n thoz spirits are gonna follow u even in ur marriage..kama vp achana nae,dnt 4c hm 2 luv u instd b s1 hu can b luvd da rest z 4 hm 2 realyz ur worth!pole sana bt again i warn u,ondoa mawazo ya kwa mganga n repent to God!!...
 
Home Geneva of Africa,mama mchagga,baba mngoni.Kuna mdada tulikutana naye kanisani yapata miezi mitatu Huyo mdada ni kabila mmoja na BFwangu ,amesomea America (masai girls wengi tu wemepelekwaga huko) now days amekuwa akimtembea sana my BF, they spend most of the time to talk Kimasai,Nataman huyo mdada apate kazi nje ya ARUSHA hata kesho Napoudhika: My BF ameanza kuwa na majibu mafupi kwa maswali marefu, kaacha ukwaya master,yaani sio yule wa siku hizo Mimi Elimu yangu ni ya kuungaunga, simfikii mtuhumiwa wangu kwa uzuri na senti sasa hapo itakuwajeNataka nijaribu mganga wa kienyeji kunirekebishia upepo na kufix ndoa ya haraka manake ....................Wapi ntapata mganga na hawa waganga ni kweli wanaweza tuelezane ukweli.Sikutakaga kabisa kwenda kwa mnganga ila hapa sina mchezo
mdogo wangu natanguliza pole kwa kinachokupata!ukweli ni kwamba elimu.uzuri na pesa si kigezo kwa mapenzi ya dhati!JIAMINI.ongea na mpenzi wako kwa upole na upendo!mwambie usivyokuwa na imani na ukaribu wao hasa wanapobadili lugha.mwambie ajaribu kuvaa viatu vyako aone maumivu yake!asipokuelewa mwache afanye anavyoona inamfurahisha wakati huo DUMU KTK MAOMBI!TIME WILL TELL!usiogope maumivu huwa naamini challeng humfanya mtu kuwa strong!usifanye ugomvi nae mwache aamue mwenyewe!kama ni mume wako atarudi tuu!USIENDE KWA MGANGA
 
[
Mimi Elimu yangu ni ya kuungaunga, simfikii mtuhumiwa wangu kwa uzuri na senti sasa hapo itakuwaje

Nataka nijaribu mganga wa kienyeji kunirekebishia upepo na kufix ndoa ya haraka manake ....................
Wapi ntapata mganga na hawa waganga ni kweli wanaweza tuelezane ukweli.Sikutakaga kabisa kwenda kwa mnganga ila hapa sina mchezo
[/QUOTE]
Unajua shida wewe mwenyewe umeshajidharau, inabidi uwe na confidence wewe mwenyewe, jiamini from what god has given you! ni shida sana unaposhindwa kujiamini itakusumbua sana. Ushauri wangu, usiende kabisa kwa waganga nao wadanganyifu, pray to god kama ni wako atarealize na kurudi kwako, kama he was never meant to be yours mwache mana atakusumbua. Unatakiwa kujiamini hata akikuacha utapata ambaye mungu amekupangia. NI ngumu sana kuaccept mana unampenda but smtm mungu huwa anatuepushia mengi but sisi binadamu hatuoni, you are still young, uzuri wa mwanamke unaanzia ndani yani kujiamini!!! usione kama huyo akiondoka wewe ndio mwisho wa dunia! si kweli utapata ambaye mungu amekuandalia muhimu mtangulize mungu. huko kwa waganga utatoka mpk na mikosi. My advive maasai wengi wanapenda kuoa their own tribe, angalia sana dada yangu. Mungu awe tegemeo lako, take heart
 
mtuhumiwa wangu tulikutana kanisana sasa hapo sijui lakini mpango wa mungu.
Ila kama vile hujui maumivu ntakayoyapata pindi hii shaka yangu itakapokuwa kweli
Sio wote wanaomwita Bwana Bwana wataingia ufalme wake sasa wewe maumivu yatakuwa ya muda mfupi kuliko madhara ya kuja kujuta baadae either umpoteze Bf wako au mtuhumiwa au wote wawili
 
Kama Mungu amekusudia awe Mume wako atakuwa wako tu inawezekana unajaribiwa maana kwa maelezo yako inaonekana nyie wote ni watu wa kanisani na kumbuka Mungu anasema hakuna jambo gumu la kumshinda. Pia kumbuka Mfalme Sauli alivyopata matatizo baada ya kutopeleka matatizo yake kwa Mungu na kwenda kwa Mwanamke mchawi wa Endori na hasira ya Mungu ilivyowaka juu yake. Soma 1 Samweli Sura ya 28 yote ili uelewe vizuri.
 
Home Geneva of Africa,mama mchagga,baba mngoni.

Kuna mdada tulikutana naye kanisani yapata miezi mitatu
Huyo mdada ni kabila mmoja na BFwangu ,amesomea America (masai girls wengi tu wemepelekwaga huko) now days amekuwa akimtembea sana my BF, they spend most of the time to talk Kimasai,Nataman huyo mdada apate kazi nje ya ARUSHA hata kesho

Napoudhika: My BF ameanza kuwa na majibu mafupi kwa maswali marefu, kaacha ukwaya master,yaani sio yule wa siku hizo

Mimi Elimu yangu ni ya kuungaunga, simfikii mtuhumiwa wangu kwa uzuri na senti sasa hapo itakuwaje

Nataka nijaribu mganga wa kienyeji kunirekebishia upepo na kufix ndoa ya haraka manake ....................
Wapi ntapata mganga na hawa waganga ni kweli wanaweza tuelezane ukweli.Sikutakaga kabisa kwenda kwa mnganga ila hapa sina mchezo

No dear,rudi katika key ya mapenzi tu.Hiyo ndiyo mganga wako,Otherwise njoo inbox as usual
 
Back
Top Bottom