Wadada: Nisaidieni mganga wa kienyeji, hali yangu tete in case mnantakia mema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadada: Nisaidieni mganga wa kienyeji, hali yangu tete in case mnantakia mema

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Marytina, Jun 10, 2011.

 1. M

  Marytina JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Home Geneva of Africa,mama mchagga,baba mngoni.

  Kuna mdada tulikutana naye kanisani yapata miezi mitatu
  Huyo mdada ni kabila mmoja na BFwangu ,amesomea America (masai girls wengi tu wemepelekwaga huko) now days amekuwa akimtembea sana my BF, they spend most of the time to talk Kimasai,Nataman huyo mdada apate kazi nje ya ARUSHA hata kesho

  Napoudhika: My BF ameanza kuwa na majibu mafupi kwa maswali marefu, kaacha ukwaya master,yaani sio yule wa siku hizo

  Mimi Elimu yangu ni ya kuungaunga, simfikii mtuhumiwa wangu kwa uzuri na senti sasa hapo itakuwaje

  Nataka nijaribu mganga wa kienyeji kunirekebishia upepo na kufix ndoa ya haraka manake ....................
  Wapi ntapata mganga na hawa waganga ni kweli wanaweza tuelezane ukweli.Sikutakaga kabisa kwenda kwa mnganga ila hapa sina mchezo
   
 2. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Marytina,

  You are too intelligent to do it! If you biwitch this Masai, lady, you will keep on doing it again and again.
  It is painful, but probebly, the logical thing will be to leave nature to take it course.

  If you do not want my advice, I can still assist you in other way. Pm me and will direct you to the right person, kazi kwako
   
 3. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ' Mganga' ni Bwana Yesu tu. Sali sana ikiwezekana fanya novena kabisa pamoja na kifunga. Utashinda bila kuingia dhambini.
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  BF wako mwenyewe ndio mganga wako wa kienyeji
   
 5. M

  Marytina JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  i will let nature to take its course kwa mambo au mtu mwingine lakini sio huyo.
  This Man ananifaa sana na sikuwazia kuna kipindi nitajikuta kwenye hali hii.
  Akipeperuka itakuwa ni biggest loose ever in my life
   
 6. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Usifanye hivyo wala usilazimishe mapenzi yasije kukupata makubwa na ndoto zako kuishia njiani. Cha msingi tumia mdomo wako kuumba maneno ambayo yatamfanya mtu wako aelewe namna unavyopenda maisha yenu yawe wala huyo mtuhumiwa wako asikuumize kichwa just find a wayout before it's too late. Kuhusu uchawi siyo suluhisho la kudumu.
   
 7. M

  Marytina JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  tazama hapa:huyo binti mmasai tulikutana naye church sasa hapo itakuwaje ina maana Mungu alituingiza hilo kanisa yatokee haya?
   
 8. M

  Marytina JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kweli huyu hunitibia moyo wangu ila naona kuna mtu anataka ninyima access kwa huyu mtu.

  pls mimi nataka mchapa vibuyu niko serious naumia sana mtu kaja huko juzijuzi anitoe
   
 9. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  naweza kukusaidia...lakini neno ulolitumia ndio lanipa shaka!
  Mganga wa kienyeji ndio nini maana yake?
  Halafu usidanganywe....kuna kitu kina itwa ''Dimension'' naamin utaifahamu...tukianzia hapo ndipo msaada wangu utapoanzia!
  Pole kwa kufikwa na maswaibu hayo!.
  Pia unaweza PM.
   
 10. M

  Marytina JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Nimejaribu sana kumwelekeza ananiambia no hidden agenda ila hata kama kusoma hujui picha ya mgombea unashindwa kuitambua?

  Uchawi only once in my life hautaadhiri the whole mkondo wa maisha
   
 11. s

  shoshte Senior Member

  #11
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mganga wa kienyeji ni binadamu kama wewe hatakusaidia kwa chochote sababu hana uwezo wa kubadilisha mawazo ya binadamu,leo utampeleka huyo dada kesho Bf wako atamchukua mwingine utampeleka naye pia baadae utaamua kumpeleka Bf wako baada ya kumpeleka atakuwa zezeta utamuogesha utamfunga nepi na kumtoa nje apate jua kidogo MUNGU NDIE KIMBILIO WAKATI WA SHIDA MWOMBE MUNGU MAPENZI HAYALAZIMISHWAI HATA SIKU MOJA MWOMBE MUNGU KAMA HUYO BF NI WAKO ATAKUWA WAKO KAMA SIO WAKO HATA UENDE WAPI HATA HIYO NDOA UNAYOSEMA HAITADUMU HATA SIKU MOJA NA UTABAKI UKIJILAUMU MILELE ushauri wa bure
   
 12. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  teh teh!

  Marytina,
  nadhani unataka kuongeza tatizo juu ya tatizo.
  kwanza hujasema hapa kua tyari wanamausiano ya kimapenzi ila tu unaonekana ku-doubt
  ukaribu wao.
  lakini hata kamawanao uhusiano hua kwani solution ni kwenda kwa maganga wa kienyeji??
  jibu ni sio au hapana. so usiende.
  cha kufanya tetea penzi lako kwa jamaa yako, mweleze ukweli wa unavyohisi.
  akikiri na akakutaka umwache basi mwache kwani huna kosa na maumivu utakayopata sio ya milele.
  lakini pia utakua na amani kwa mwafaka huu kwa sababu you are not guild katika break up ya relation yenu.
  kigine kumbuka sio kila tupebndacho ni kizuri kwetu, au tunakistahili.
  may be you deserve better than him au labda mkioana huko mbele kuna magumu ambayo kwa sasa unaepushwa nayo.
  finally jst watch the game time will omfirm it.
   
 13. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  mganga ni wewe mwenyewe dia,
  usijihangaishe!!!!!!
   
 14. M

  Marytina JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mchapa au muimbia vibuyu na kuku wa kienyeji
  Dimension...which is which?
   
 15. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #15
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,067
  Trophy Points: 280
  Sasa kama hata wewe mwenyewe assessment yako ipo hivyo, je huyo BF yupo katika hali gani?
   
 16. M

  Marytina JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  mtuhumiwa wangu tulikutana kanisana sasa hapo sijui lakini mpango wa mungu.
  Ila kama vile hujui maumivu ntakayoyapata pindi hii shaka yangu itakapokuwa kweli
   
 17. M

  Marytina JF-Expert Member

  #17
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hapo red:Nahisi tu bado sijaconfirm ila hata wewe ungekuwa ndio huyo mwanaume Cv ipi kali tuseme ukweli jamani
  To be honest in my life nimewahi ku date na wawili Mhaya na Mmasai..Mhaya alininyanyasa sana nikakoma kabisa kuwa na mahusiano na mabishoo sasa what will be best than this I have/Mmasai?
   
 18. M

  Marytina JF-Expert Member

  #18
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Wewe hujui inavyouma kuporwa? ila kama una dada kuna siku litamkuta utamtibia kama mtoto.
   
 19. M

  Marytina JF-Expert Member

  #19
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  always mimi ni mkweli nimezidiwa nasema Cv ya mwenzangu inauza sana ndio maana naitaji mganga kufix mambo.
   
 20. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,651
  Trophy Points: 280
  Dada Marytina umesema hapo juu kuwa anakufaa,dada yangu tambua anaekufaa hawezi kukuweka kwenye imposible situation kama aliyokusababishia huyo,hiyo ni ishara kuwa hakufai na ulikuwa unajidanganya kujieleza hivyo,acha muda uzungumze kwani muda huwa hausemi uongo!Shukuru Mungu ameonesha tabia yake halisi kabla hamjaingia kwenye ndoa!
   
Loading...