Hata nYwele kusuka kina dada wengi hawafahamu na bila aibu wanaomba pesa tena nyingi kwenda mwenge kusuka wakati nywele kama za mabutu angejisuka mwenyeweWakuu, kila mmoja apokee heshima kwa stahili yake. wenye mambo! haya, wale wa oyooo poa tu, wa shikamoo pia hali kadhalika.
hebu nipeni maoni yenu kuhusu ulikoishia utamaduni wa kina dada/mama kufuma.
kwenye kumbukumbu zangu bado ipo taswira ya kina mama waliofuma vitu kama soksi, sweta n.k.
Nakumbuka mama yangu alifuma. vitambaa vya meza na makochi nyumbani, hakuwa akinunua alifuma vyake, unakuta akiwa kajipumzisha baada ya kutoka kazini mdogomdogo anahesabu nyuzi hivyohivyo mpaka seti inakamlika.
Na si mama tu, bali hobby ilikuwepo sana zamani kuliko sasa.
Ni nini kilitokea hamfumi tena?
ila hata siku hizi
nadhani ni wachche huwa wanatandika vitambaa vya kufuma kama zamani
nakumbuka mama alikuwa anafuma kwa ajili ya makochi yake ya enzi zile
ila siku hizi hakuna tena
siku hizi mambo yamebadilika sana..........
nakumbuka hata zamani hizo mama alikuwa anafuma vitambaa lakin
mara ya mwisho kumuona anafuma tena sijui ni lini[/QUOTE]
Pilika zimekuwa nyingi wii ingawa bado wapo wafumaji,binafsi sijawahi kununua vitambaa vya kufuma wala kudarizi huwa nafuma mwenyewe. Sema siku hizi sasa mpaka nimalize seti kazi ipo. Hata mifumo mipya siku hizi si mingi na kurudia ile ile inachosha!!
Hata nYwele kusuka kina dada wengi hawafahamu na bila aibu wanaomba pesa tena nyingi kwenda mwenge kusuka wakati nywele kama za mabutu angejisuka mwenyewe
mbele ya smartphone hakuna kufuma aisee
Halafu ukishafuma unapeleka wapi?
Hujui maisha yamebadilika??
siku hizi mambo yamebadilika sana..........
nakumbuka hata zamani hizo mama alikuwa anafuma vitambaa lakin
mara ya mwisho kumuona anafuma tena sijui ni lini[/QUOTE]
Pilika zimekuwa nyingi wii ingawa bado wapo wafumaji,binafsi sijawahi kununua vitambaa vya kufuma wala kudarizi huwa nafuma mwenyewe. Sema siku hizi sasa mpaka nimalize seti kazi ipo. Hata mifumo mipya siku hizi si mingi na kurudia ile ile inachosha!!
nafurahi kusikia kuna wafumaji wapo bado. nahisi mnatumia akili sana. hasa kwenye soksi.
nafurahi kusikia kuna wafumaji wapo bado. nahisi mnatumia akili sana. hasa kwenye soksi.
Duh! nimekumbuka mbali, sijui hata kama koroshia bado zinauzwa madukani
Zipo bado.
Unakumbuka tulikuwa tunazinunua kwa namba? Nyembamba,saizi ya kati,nene kidogo,nene sana!!!