Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,956
Kuna tuhuma nzito dhidi yenu kuwa siku hizi hamtembei na khanga za akiba kwenye mikoba yenu.
Wengi wanasema kuwa nyinyi wadada wa sasa huwa hamchukui tahadhari kabisa
Yani mkishavaa hivyo visuriwali vyenu ndo basi tena hamkumbuki kubeba nguo nyingine.
Mnaumbuka sana kwa tabia hii. Au ndo uchafu wenyewe huu.
Wadada wa JF hebu nijibuni hapa na nyie ndo tabia yenu??