supercharger GT
JF-Expert Member
- Sep 18, 2014
- 1,023
- 1,979
Haijawahi kutokea na ni moja kati ya thread zenye kumzungumzia mwanamke tofauti na ilivyozoelekaMhh hii mpya ila mi navoona inawezekana mdada hajiamini(insecured) kahofia ushindani ambao ungeanza maana maisha yameanza kuwa mazuri na wanawake wengine pia wataanza "kumuona" tofauti na mwanzo jamaa hana hela.
Ila pia yaweza kuwa mengine
Na kwa hii thread ndio mwanzo wa page zao kupunguaUtafiti gani wa miaka kila siku tunatishiwa kufukuzwa maabaraa aah wabaki wenyewe na wewe pia mtafute wengine.
Posho yenyewe mbinde
Na kwa hii thread ndio mwanzo wa page zao kupungua
Ila ndio litakuwa limejaa uongo mtupu.Hao wana mpango wa kuvunja rekodi watatoa kitabu kikubwa sijui kama shati la nani.
Hiyo Avatar ni yako ?Ndoa muamini kwamba si kila mwanamke yuko after money
Jiulize huyu mambo yamenyooka ndo anakaa pembeni..
Inawezekana jamaa baada yakupata pesa alionyesha vijitabia ambavyo binti aliona hataviweza vikikomaa
Akaona isiwe tabu niwapishe wengine. ..
Ila ndio litakuwa limejaa uongo mtupu.
Tutarudi kwenye ule usemi usemao "ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi"
Hivyo tusubiri tuone
Mkuu ndo maana hapo kwenye thread nmeeleza kabisa kuwa hata mm nashangaa, na sijawahi kukutana kabisa na story kama hii!!!!!Sitaki kuamini. Yaani mwanamke kwenye raha ndio hamtaki mwanaume.
Ni katika dunia hii tuliyonayo ama nyingine.
Lazima kuna kitu nyuma ya pazia
Mkuu ndo maana hapo kwenye thread nmeeleza kabisa kuwa hata mm nashangaa, na sijawahi kukutana kabisa na story kama hii!!!!!Sitaki kuamini. Yaani mwanamke kwenye raha ndio hamtaki mwanaume.
Ni katika dunia hii tuliyonayo ama nyingine.
Lazima kuna kitu nyuma ya pazia