Nasaka kweliMmmh! We unasaka au unaopoa tu kama kama kuponi za tatu mzuka!
Ndo umeamua kuiua kabisaaaa!!! Nionee huruma ujue nilikuwa nishapenda mwenzioUshahidi!!! Hata hivyo ujue mi ndo your life lover!
We saka ila maji hayasahau baridi!
We sawa nizomee tu nipo nalia hapa na kamasi juu km mtoto yaaniHio love ilikuwa miguu ya mkate![]()
Kumwagiwa chai tu chali kabla hata ya kuliwa!![]()
![]()
Vituko vyako ndio vinavyonimaliza, bila shaka mwenye Mali muda wote meno nje.Kigagula nina wajukuu![]()
Vi
Vituko vyako ndio vinavyonimaliza, bila shaka mwenye Mali muda wote meno nje.
maisha mafupi haya jiachie usijibane bane maana binadamu hawana jemaNimekwambia short man nawahitaji sanaHilo bo.oo! Lina ATM!
Humu ndani picha yako unabidi unipe mm tu.
Kwann?Humu ndani picha yako unabidi unipe mm tu.
Eti eeh..hayaFor an insurance purpose![]()
Sio wewe ndio ungeanzasawa sawa kabisa ..tena ungeanza
Mmhhhh weeee mwanamke na mwanamme nani anaitwa First.....nanii??Sio wewe ndio ungeanza